Thamani ya shilingi yetu kulinganisha na Dolla katika kipindi cha wiki 2, nimegundua inaporomoka thamani sana

Thamani ya shilingi yetu kulinganisha na Dolla katika kipindi cha wiki 2, nimegundua inaporomoka thamani sana

msichoke kumuombe aweze kuwafikisha kule "anakotaka kuwafikisha".
 
Ndugu yangu nadhani umeamua tu kunitania; sikumbuki lini exchange rate ilishawahi kufikia 1Usd= 2500. Natambua mada nyingi mnaandika kisiasa ILA mimi sio mwanasiasa ni MZALENDO MKWELI na nimeandika hii mada baada kuona kuporomoka kwa thamani ya shilingi kutakavyoathiri shughuli zangu binafsi na za jamaa zangu tunaofanya shughuli zinazotegemea kwa kiasi kikubwa nguvu ya shilingi yetu.

Ahsante
Sasa iyo ndogo kama unakumbuka ilikuaga 1usd= 2500tsh....c ushukuru tunapanda ...tutafika tu 1usd=1000tsh
 
Ukisoma hii thread utaona watu wanalalamika na wengine wanabeza...nachelea kumlaumu baba wa taifa kwa kutuingiza kwenye ujamaa uliotugeuza mind set na kutufanya tuamini kila kitu inchi hii ni kazi ya serikali na kuilaumu kwa kila kitu...mostly humu ni waajiriwa, unaauza nn nje ya inchi ili kuifanya pesa yetu ipande hapo ofcn kwako?wengine wana trade forex,forex wont uplift thamani ya pesa yetu,only the goods and services we offer overseas ndo vita uplift pesa yetu. As we know serikali yetu haifanyi biashara zaidi ya kujaribu ku regulate soko la pesa. in a real sense hii ni kazi ya wakulima na wafanyabiashara..the more our products zinakua demanded huko nje ndivyo na thamani ya pesa yetu inapanda...so lets stop complain and start helping our country,inchi hii itajengwa na sisi wenyewe.
 
Usiende mbali hapa jirani tu. Kenya Shilingi inazidi kupaa kila kukicha wakati Tanzania shilingi inazidi kuporomoka. Kenya Petroli ni Ksh 100 kwa lita moja ambayo ni sawa na Tsh 2,300. Hii ni Hatari sana.
 
Ukisoma hii thread utaona watu wanalalamika na wengine wanabeza...nachelea kumlaumu baba wa taifa kwa kutuingiza kwenye ujamaa uliotugeuza mind set na kutufanya tuamini kila kitu inchi hii ni kazi ya serikali na kuilaumu kwa kila kitu...mostly humu ni waajiriwa, unaauza nn nje ya inchi ili kuifanya pesa yetu ipande hapo ofcn kwako?wengine wana trade forex,forex wont uplift thamani ya pesa yetu,only the goods and services we offer overseas ndo vita uplift pesa yetu. As we know serikali yetu haifanyi biashara zaidi ya kujaribu ku regulate soko la pesa. in a real sense hii ni kazi ya wakulima na wafanyabiashara..the more our products zinakua demanded huko nje ndivyo na thamani ya pesa yetu inapanda...so lets stop complain and start helping our country,inchi hii itajengwa na sisi wenyewe.
Naweza kukuambia uelewa kuhusu financial markets ni mdogo au hauko updated kabisa hilo unalosema kuhusu export na imports kama ndio zinafanya sarafu kupanda au kushuka sio kweli labda kwa zamani sawa ambalo hilo ndo lengo la mwanzo lakini kwa sasa hivi sarafu ya pesa thamani inapatikana kutokana na nguvu ya demand na supply kutokana na biashara kuhodhiwa na mabenki .
Hali ya uchumi wa nchi na kisiasa ndio kigezo kikubwa kwa sasa kinachoweza kuipa nguvu thamani ya sarafu.
Jiulize swali kwa nini Japan nchi inayofanya exportation kubwa ila sarafu yao huwa iko weak?
 
Ndio mjue Mange ana nguvu hii ni kutokana na tishio la maandamano mnamuita Malaya ila naona Malaya kafanikiwa kuilaza serikali macho wazo. Hata asipofanikiwa maandamano huyu dada kawapiga serikali impact ya kufa mtu.

Jana polisi zimetumika pesa kufanya show mitaani
 
Mafuta yatapanda maana bei soko la dunia yamefikia 75$pb na dollar imepanda dhidi ya tsh
 
Duh! Few days ago it was 1U$= TZS 2,255
Juzi tu December 2017 ilikua 2225-2235Tshs.

Kwa wale wa malipo kwa USD tunachekelea fulani hivi lakini ukweli ni kwamba maumivu ya jumla kama taifa ni makubwa. Sio hali ya kuifurahia
 
Sasa iyo ndogo kama unakumbuka ilikuaga 1usd= 2500tsh....c ushukuru tunapanda ...tutafika tu 1usd=1000tsh
Lini ilikua 1USD=2500tshs? Au ndio zile habari za kilo ya sukari ilikua 5,000 nimeishusha mpaka 3,000?
 
Back
Top Bottom