Ukisoma hii thread utaona watu wanalalamika na wengine wanabeza...nachelea kumlaumu baba wa taifa kwa kutuingiza kwenye ujamaa uliotugeuza mind set na kutufanya tuamini kila kitu inchi hii ni kazi ya serikali na kuilaumu kwa kila kitu...mostly humu ni waajiriwa, unaauza nn nje ya inchi ili kuifanya pesa yetu ipande hapo ofcn kwako?wengine wana trade forex,forex wont uplift thamani ya pesa yetu,only the goods and services we offer overseas ndo vita uplift pesa yetu. As we know serikali yetu haifanyi biashara zaidi ya kujaribu ku regulate soko la pesa. in a real sense hii ni kazi ya wakulima na wafanyabiashara..the more our products zinakua demanded huko nje ndivyo na thamani ya pesa yetu inapanda...so lets stop complain and start helping our country,inchi hii itajengwa na sisi wenyewe.