Thamani ya TSH imeshuka huu ndio msosi wa buku nne

Thamani ya TSH imeshuka huu ndio msosi wa buku nne

Acha uongo hapo ni 1200.. Samaki 200 na chipsi za buku
 
Ukute upo mkoa kagera yaani ni mkoa wa ajabu sana , msosi wake ni msosi wa hivyo hivyo , yaani unakula lakini huna namna kwa kweli, nimewahi kwenda huko wilaya kyerwa asee maisha yapo juu sana haswa chakula wali maharage elfu 3 na mia 5
Duuh si mkoa wenye rutuba na Mvua za kutosha? Shida nini?
 
Back
Top Bottom