Thamani ya Ukuu wa Wilaya yazidi kushuka. Wasaliti, waliokataliwa majimboni na wananchi ndio wanaoteuliwa

kama ni hivyo Sabaya alipatikanaje ? nina mafaili ya wateule zaidi ya 20 , hawa walioteuliwa leo , kwani mimi nina uwezo gani kushinda mamlaka ?
subiri atoke apewe RC ndio utajua,hakuna kitu unajua hapa nchini.

tunawasihi muache siasa za mkumbo na mihemko mnatuita mataga.

fleshi tu,endeleeni na ziara ya usajili online[emoji38][emoji38]
 
Hana madini yyte Yule , shule kitu gani , haiba yake inatosha kumuondoa kwenye hyo kazi .....!!! Kuna sku mtu kama amber ruty atakuja kuwa DC sababu Tu kapita pita school
sasa tukiwaambia lissu hatoshi kuwa rais mnajamba kisa nini!!!

yule hata ubunge ulimwangukia tu.
 
Jombaa chekifreshi utakuwa unawivu wa kike
1. Waliopita hatukuwa na walevi watukanaji kama kina 7ya,Mulo nk.
2. Ukihama chama in msaliti? Mbona waliotoka ccm kwenda upinzani niwengi hamuwaiti wasaliti?
3. Hawaheshimiki nanani?
4. Ukubwa was cheo niupi na Mani anaakisi uwo ukubwa? Swala ni uwezo wakazi au kuakisi?
5. Umeanza na remunerations zao!! Hiyo sio dalili ya wivu?
Tunawapongeza ma DC wateuliwa wooote,tunawatakia utendaji bora,yalopita si ndwele na kazi iendelee kwa kasi na viwango!! Chuki haina nafasi tujadili Sera mama kasema
 
Mfano, kuhusu mhalifu sugu sabaya mbona watu walitoa maoni mara nyingi lkn mteuzi wake hakujali kamwe?
Kuongelea issue ya Sabaya ktk uteuzi mpya kujipoteza tu. Yule anatuhumiwa pengne itakuwa busara tukisubir mahakama ije na maamzi juu yake.
 
Ule mkutano wa Mh. Raisi na vijana ulikua na maana sana. Bahati mbaya wengi hawakuelewa....
 
Kwenye ulevi hakuna anayemfikia Makengeza Mbowe.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
bora umemwambia ukweli ili ajirekebishe.
 
Eti wasaliti! Yaani kwasababu wewe una mlengo au mahaba fulani unataka wote wawe upande wako hata kama mawazo yao yamebadilika na yanataka kitu kingine?!?
 

Hivi kwa nini hawawapandishi hawa watu waliopo chini?
 
Hasira za nini wivu tu tuliwaonya kuwa Magufuli = Samia hamkusikia hivi kuna mlevi kama Mbowe? Aliondoka tu Magufuli hakuondoka na mfumo wa CCM
Uliwaonya kina nani? Mimi kuondoka kwa Magufuli kulikuwa afadhali kwa sababu watu wengi waliokuwa wanapoteza uhai kwa sababu ya uongozi wake watapona. Hilo tu ni jambo zuri. Sitegei mambo mengine kubadilika kwa sababu system na watawala ni wale wale.
 
Lijuakali, nasari, mashinji naona wamewatachi sana...
Kwa nini msiowapenda mnataka wateseke?
Na sabaya anatoboa kudadeki, mtamgeuka tu mama...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…