Mkuu ni rahisi sana . Unachukua dolar ulizonazo unaenda kwenye calculator yako unazidisha kwa 2300.Habari za mida hii Wakuu hope mko vema na jumapili inaenda vizuri,
Okey twende kwenye Mada kidogo
Kuna kitu wengine hatujui kama mimi ukiniambia maswala ya Dollars najua ni hela ya kimarekani ila sasa shida inakuja hapa.
Mfano mtu anakwambia Dollar $2 hapo sijui kwa hela yetu ya Tanzanian ukiibadirisha inakuwa sh ngapi?
So mwenye uelewa anaweza Nisaidia ni hivyo tu yani!..[emoji120]
Umemwelekeza kama vile anajua iyo 2300 umeipata wap?Mkuu ni rahisi sana . Unachukua dolar ulizonazo unaenda kwenye calculator yako unazidisha kwa 2300.
Mfano hapo una dola 2 sasa utachukua 2Γ2300=4600 tz
Nadhan utakuwa umeelewa vizuri
Mkuu hapo ndio uwezo wangu umeishia siunaona wadau hapo kila mmoja ametoa majibu kulingana na anavyoelewa?umemwelekeza kama vile anajua iyo 2300 umeipata wap?
mwambie kabisa kwa sasa dola moja ni kiasi gani kwa tz sh. na huwa inabadirika kulingana na hali ya uchumi.
atajua iyo 2300 ndo rate ya kubadirishia kila uchwao.
Mfano hivi $25 umesema niongeze sifuri tatu mbele yani hivi Tsh 25,000 au nimekoseaDollar moja 1$ = 2200 Tzs
Njia rahisi ya kibadili ukiona Dollar
1)Ongeza sifuri 3 mbele
2)Then, ifanye Γ2
Mfano
U$D 34,000 chapu unaongeza zero 3 mbele 34,000,000 then unafanya Γ2 inakuwa 68,000,000 Tzs.
34,000 $ = 68,000,000+ Tzs.
Mbona umalizii then unafanya Γ2.Mfano hivi $25 umesema niongeze sifuri tatu mbele yani hivi Tsh 25,000 au nimekosea
Simalizii nini tena hapo Mkuu!? Una maana hapo $25 ukiigeuza kwa Tsh ni 25,000,000 yani ni mil 25 duuπ±π²
Dollar moja 1$ = 2200 Tzs
Njia rahisi ya kibadili ukiona Dollar
1)Ongeza sifuri 3 mbele
2)Then, ifanye Γ2
Mfano
U$D 34,000 chapu unaongeza zero 3 mbele 34,000,000 then unafanya Γ2 inakuwa 68,000,000 Tzs.
34,000 $ = 68,000,000+ Tzs.
Usikaze sana mkuu, relax kidogo [emoji4]Huu ni Uzi wa serious kweli? Au mi ndi Niko serious sana!
Ok. Baasi mi si wa humu nimekosea njiaUzi ni wa serious mkuu tunaelimishana tu
Kweli I seeUsikaze sana mkuu, relax kidogo [emoji4]