Thamani ya US Dollar kwenye hela ya Kitanzania Tsh ni ipi kwa sasa?

Thamani ya US Dollar kwenye hela ya Kitanzania Tsh ni ipi kwa sasa?

Mkogoti

TAPELI Mkubwa
Joined
May 3, 2020
Posts
2,415
Reaction score
3,924
Habari za mida hii Wakuu hope mko vema na jumapili inaenda vizuri,

Okey twende kwenye Mada kidogo
Kuna kitu wengine hatujui kama mimi ukiniambia maswala ya Dollars najua ni hela ya kimarekani ila sasa shida inakuja hapa.

Mfano mtu anakwambia Dollar $2 hapo sijui kwa hela yetu ya Tanzanian ukiibadirisha inakuwa sh ngapi?

So mwenye uelewa anaweza Nisaidia ni hivyo tu yani!..🙏
 
Habari za mida hii Wakuu hope mko vema na jumapili inaenda vizuri,

Okey twende kwenye Mada kidogo
Kuna kitu wengine hatujui kama mimi ukiniambia maswala ya Dollars najua ni hela ya kimarekani ila sasa shida inakuja hapa.

Mfano mtu anakwambia Dollar $2 hapo sijui kwa hela yetu ya Tanzanian ukiibadirisha inakuwa sh ngapi?

So mwenye uelewa anaweza Nisaidia ni hivyo tu yani!..[emoji120]
Mkuu ni rahisi sana . Unachukua dolar ulizonazo unaenda kwenye calculator yako unazidisha kwa 2300.

Mfano hapo una dola 2 sasa utachukua 2×2300=4600 tz
Nadhan utakuwa umeelewa vizuri
 
Mkuu ni rahisi sana . Unachukua dolar ulizonazo unaenda kwenye calculator yako unazidisha kwa 2300.

Mfano hapo una dola 2 sasa utachukua 2×2300=4600 tz
Nadhan utakuwa umeelewa vizuri
Umemwelekeza kama vile anajua iyo 2300 umeipata wap?

Mwambie kabisa kwa sasa dola moja ni kiasi gani kwa tz sh. na huwa inabadirika kulingana na hali ya uchumi.

Atajua iyo 2300 ndo rate ya kubadirishia kila uchwao.
 
Dollar moja 1$ = 2200 Tzs

Njia rahisi ya kibadili ukiona Dollar
1)Ongeza sifuri 3 mbele
2)Then, ifanye ×2

Mfano

U$D 34,000 chapu unaongeza zero 3 mbele 34,000,000 then unafanya ×2 inakuwa 68,000,000 Tzs.

34,000 $ = 68,000,000+ Tzs.
 
Unazidisha tu mwenyewe
Usd 1= 2300-2400tsh (huwa inabadilika badilika lakini huwa mara nyingi haitoki nje ya hapo)
Mfano hapo usd 2 = tsh 4700 hivi
 
umemwelekeza kama vile anajua iyo 2300 umeipata wap?

mwambie kabisa kwa sasa dola moja ni kiasi gani kwa tz sh. na huwa inabadirika kulingana na hali ya uchumi.

atajua iyo 2300 ndo rate ya kubadirishia kila uchwao.
Mkuu hapo ndio uwezo wangu umeishia siunaona wadau hapo kila mmoja ametoa majibu kulingana na anavyoelewa?

Jaribu na wewe pia kujazia nyama sehemu ambayo unaona kuna mapungufu kadhaa.
 
Mkuu ni rahisi sana . Unachukua dolar ulizonazo unaenda kwenye calculator yako unazidisha kwa 2300.

Mfano hapo una dola 2 sasa utachukua 2×2300=4600 tz
Nadhan utakuwa umeelewa vizuri
Shukrani sana
 
Unazidisha tu mwenyewe
Usd 1= 2300-2400tsh (huwa inabadilika badilika lakini huwa mara nyingi haitoki nje ya hapo)
Mfano hapo usd 2 = tsh 4700 hivi
Shukrani Mkuu nimekupata
 
Dollar moja 1$ = 2200 Tzs

Njia rahisi ya kibadili ukiona Dollar
1)Ongeza sifuri 3 mbele
2)Then, ifanye ×2

Mfano

U$D 34,000 chapu unaongeza zero 3 mbele 34,000,000 then unafanya ×2 inakuwa 68,000,000 Tzs.

34,000 $ = 68,000,000+ Tzs.
Mfano hivi $25 umesema niongeze sifuri tatu mbele yani hivi Tsh 25,000 au nimekosea
 
Mfano hivi $25 umesema niongeze sifuri tatu mbele yani hivi Tsh 25,000 au nimekosea
Mbona umalizii then unafanya ×2.

Ila hiyo ni ya makadilio maana ile 200-300 huiesabii ndio maana hapo. Utapata 50,000 Tzs na chenji.
 
Simalizii nini tena hapo Mkuu!? Una maana hapo $25 ukiigeuza kwa Tsh ni 25,000,000 yani ni mil 25 duu😱😲
 
Kweli hii ni njia ya chap, I didn't know about this!
Dollar moja 1$ = 2200 Tzs

Njia rahisi ya kibadili ukiona Dollar
1)Ongeza sifuri 3 mbele
2)Then, ifanye ×2

Mfano

U$D 34,000 chapu unaongeza zero 3 mbele 34,000,000 then unafanya ×2 inakuwa 68,000,000 Tzs.

34,000 $ = 68,000,000+ Tzs.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom