Thank god I am back

Thank god I am back

[/COLOR]Yap I m trying sababu baridi imezidi kwa sasa,tuko -6 lakini tunaenda nayo hivyohivyo.

hahahah lol na winter trip hii imekubali pande zote..
sisi tulienda mpaka -30 mwaka huu....
so i know what ur going throw ..
poleni sana njoo kipande hii ni sweet summer sasa hivi lol
 
Nakaribia mama hope utanikaribisha kwa mikono miwili na kwako wala sitahitaji electric blanket,wewe tu utanitosha.
 
Huku tuliko sisi naona itakuwa kama hiyo maana watu wa weather wameshatuambia mwaka huu winter itakuwa kali na inaweza kuwa katika record in 25 years.
 
hahahah lol ngoja nianze kuingia bugger King, Mc donald, KFC, Nandos, subway, pizza hut, n.k..
kwa sababu na huu mwili nilionao sasa hutapata joto lolote hahah lol
si unajua tena mambo summer..
huwezi kuwa ........ wakati unataka kuva ......... kwenye beach lol
 
duuuuhh poleni sana wakuu..
kwa kweli nawaonea huruma..
mi winter inayokuja nakimbia...
 
hahahah lol ngoja nianze kuingia bugger King, Mc donald, KFC, Nandos, subway, pizza hut, n.k..
kwa sababu na huu mwili nilionao sasa hutapata joto lolote hahah lol
si unajua tena mambo summer..
huwezi kuwa ........ wakati unataka kuva ......... kwenye beach lol

Nakupenda tu,vile ulivyo nakupenda tu.
 
Inshaallah nashukuru na usinisahau mwaliko wa harusi sijui itakuwa Bongo au Dubai?
Get well soon , ila unaonyesha ni kiasi gani itakuwa vigumu kupona kutokana na viashiria hv vya kukiuka / kukona masharti ya dr
 
Wishing u super speed recovery man. Pia jaribu kubadili jina lako linaweza kuwa linachangia kuugua....just kidney man.
 
Thanks man for good wishes hope I ll be ok very soon,ila kwa hilo la kubadili jina inaweza kuwa ngumu kidooooogo maana shemejio amenipendea jina hilo na ameapa nikibadili jina basi mimi na yeye itakuwa mwisho.
 
nilijiuliza sana namiss nini kumbe ni wewe....aaah....karibu bana.....pole na maumivu.....nije niwe nakubeba?
 
Pole sana,zingatia masharti nakutakia kupona kwa haraka
 
Back
Top Bottom