St. Paka Mweusi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2010
- 7,956
- 5,149
- Thread starter
- #21
vipi tena ze fainesti?
Huyo mjomba naona ana wivu utafikiri kazaliwa East Europe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vipi tena ze fainesti?
[/COLOR]Yap I m trying sababu baridi imezidi kwa sasa,tuko -6 lakini tunaenda nayo hivyohivyo.
Huyo mjomba naona ana wivu utafikiri kazaliwa East Europe.
Vipi wale wazushi wameshalala?Kama ni ndio basi ukumbi ni wetu sasa.
hahahah lol na winter trip hii imekubali pande zote..
sisi tulienda mpaka -30 mwaka huu....
so i know what ur going throw ..
poleni sana njoo kipande hii ni sweet summer sasa hivi lol
mmmhhhh mi napenda kuwaita wakuu au wataalum...
hahahah lol na winter trip hii imekubali pande zote..
sisi tulienda mpaka -30 mwaka huu....
so i know what ur going throw ..
poleni sana njoo kipande hii ni sweet summer sasa hivi lol
Nakaribia mama hope utanikaribisha kwa mikono miwili na kwako wala sitahitaji electric blanket,wewe tu utanitosha.
Pole bwan'shekhe!
Huku tuliko sisi naona itakuwa kama hiyo maana watu wa weather wameshatuambia mwaka huu winter itakuwa kali na inaweza kuwa katika record in 25 years.
Kwa hilo wala usijali jamaa ni mtani wangu so no problem.
hahahah lol ngoja nianze kuingia bugger King, Mc donald, KFC, Nandos, subway, pizza hut, n.k..
kwa sababu na huu mwili nilionao sasa hutapata joto lolote hahah lol
si unajua tena mambo summer..
huwezi kuwa ........ wakati unataka kuva ......... kwenye beach lol
Nakupenda tu,vile ulivyo nakupenda tu.
Get well soon , ila unaonyesha ni kiasi gani itakuwa vigumu kupona kutokana na viashiria hv vya kukiuka / kukona masharti ya drInshaallah nashukuru na usinisahau mwaliko wa harusi sijui itakuwa Bongo au Dubai?
Get well soon , ila unaonyesha ni kiasi gani itakuwa vigumu kupona kutokana na viashiria hv vya kukiuka / kukona masharti ya dr
Wishing u super speed recovery man. Pia jaribu kubadili jina lako linaweza kuwa linachangia kuugua....just kidney man.