Thank You Cocacola I am Humbled !

Mfyuuu...Kuwatia mijasho ya kwapa tu watoto wa wanaume wenzio. kwani huwezi kupokea bila kuwasogezea mkwapa wako...
 
Kuna jamaa hivi bonge anauza mitumba ilala..umaarufu Wille puto!!

- mUHIMU SITEMBEI UCHI sihitaji kuwa na nguo masanduku 50 sina nyumba wala pa kulala kama watu wengi hapa mjini kuna mambo muhimu kwenye haya msiha sio nguo!!

Le Mutuz
 

- Le Mburulazzzz utakunywa tu na kopo utaliweka huna jinsi u know!1

Le Mutuz
 
- Le Mburulazzzz utakunywa tu na kopo utaliweka huna jinsi u know!1

Le Mutuz

Over my dead body.

I wish hao Coca cola wapite hapa wakuone ulivyo mtupu kichwani hizi deal za kupeana ni shida bora hiyo nafasi angepewa Joti angesaidia kuboost market hasa kwa watoto wadogo.

Hivi kubebwabebwa huku unakobebwa wewe ndio huwa unawakejeri wenzako eti warudi Bongo kwa akili yako kabisa wewe unastahili fursa hiyo au ni kubebwa tu?

Kama wewe ni Star na Christian Bella aitwe nani? Nchi itaendelea kudumaa kwa kuendekeza hii tabia ya kubebana.
 
Ni bongo movie au muimbaji gani? Umaarufu wake ni wa tuzo ngapi? Kati ya yeye, Jide na Dimindo nan superstar?
 
kwani le big show ana mtoto japo wa kusingiziwa? halafu mwanaume mzima unavaa cheni! dadako avae nini?
 
Sio kwa mastaa au watu maarufu tu,hata mtu wa kawaida unaweza kupata hyo kitu. Taarifa mtazipata jinsi ya kuweza kutengenezewa nawewe kama utahitaji. Stay tuned wandugu.
 
sina haja ya kumchukia lemtuz nimeshamfatilia ig mpaka hapa jf ni mtu mwenye uelewa mkubwa sana na anaingiza kipato bila kuiba anatumia akili tu na nimegundua matusi mnayomtukana haya muumizi ila yanawaumiza nyie wenyewe maana njia anayoitumia bado hamjaielewa mtashangaa kawa bilionea
 
Wema anafanya nini cha maana uwe na argument za maana .... Lemutuz hana tofauti my weather yule bondia Wa marekani sasa wewe unafikiri kuji show kwake kunakua siri nini wewe?

Safi sana kwa kulifahamu hilo,na wala hujakosea. Mayweather ana sifa sana halafu bonge la mshamba. Siku moja niliamua kuangalia maisha yake,pesa anayo lakini nilichoka kwa kuona dunia ni yake peke yake na Mungu anamjua yeye tu,hawa wengine hatuna maana.
 
Le Mutuz...you're just stress reliever...each post yani nacheka mpaka basi. Siamini kama this type of species exist in planet, you're unique😛oa
 
Yaani mimi majibu ya Le Mutuz huwa ni kichekesho tosha! Le Mutuz ni mtu wa
kipekee maana kila post watu wanamwandama kwa kejeli na matusi lakini hachukii wala kujibu vibaya!!
 
safi all the best
just let them dance your tune
 
Kama Diamond hayumo wasepe zao hukoooooo.... Le mutuz lazima kaomba weeee apate hili.
 
Kama Diamond hayumo wasepe zao hukoooooo.... Le mutuz lazima kaomba weeee apate hili.

Hii mbona ishu ndogo sana, sema anawaokota watu sunajua jf vijeba wengi hawajui ata kinachoendelea town. Hizi coke mpaka vinyozi wamepewa na majina yao juu. Mwenyewe anakwambia kalamba mkatabaz mnonoz wa kisupastaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…