Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le Mutuz hongera, nilichojifunza toka nimekusoma mara ya kwanza ni utofauti wa mitazamo. Njia yako ya kupata pesa bado ni mpya hapa bongo. So expect challenge.
Kuna jamaa hivi bonge anauza mitumba ilala..umaarufu Wille puto!!
Haya ndio madhara ya makampuni decesion makers kuwakabidhi wahuni.
Wenye dhamana ya kuipromote Coca Cola hapa itakuwa ni kikundi cha wahuni tu.
Ni bora kuwatumia wacheza mpira na wanamuziki ambao wapo kwenye chart za juu kama Joh Makini and likes kuliko wahuni kama Le Mutuz.
Wema anafaa kuwemo kwenye list kwa sababu ana mashabiki wengi.
- Le Mburulazzzz utakunywa tu na kopo utaliweka huna jinsi u know!1
Le Mutuz
kwani wewe ukishamaliza kunywa soda kopo huwa unalifanyia nini??? mimi huwa nalitupa panapostahili.
Wema anafanya nini cha maana uwe na argument za maana .... Lemutuz hana tofauti my weather yule bondia Wa marekani sasa wewe unafikiri kuji show kwake kunakua siri nini wewe?
Jesus Christ!:shock:Super Stars wa Tanzania ambao wana ushawishi mkubwa katika jamii
Kuna jamaa hivi bonge anauza mitumba ilala..umaarufu Wille puto!!
Mimi nilisikia kila akisoma comments humu sukari inashuka alafu BP inapanda!Anajikaza tu,hapa alipo anaramba glucose!Yaani mimi majibu ya Le Mutuz huwa ni kichekesho tosha! Le Mutuz ni mtu wa
kipekee maana kila post watu wanamwandama kwa kejeli na matusi lakini hachukii wala kujibu vibaya!!
Kama Diamond hayumo wasepe zao hukoooooo.... Le mutuz lazima kaomba weeee apate hili.