Thank You Cocacola I am Humbled !

Heheheh acha tu........ nimegundua nikiwa idle kiwango cha umbea kinapanda

Halafu unajua watu wazima wakiwa wanasutana inastaajabisha na kusikitisha sambamba na kuburudishaView attachment 218883

Hahahaah naripoti live from insta

Instagram watakuja TZ very soon kutoa 'shukrani'..
maana TZ ime hit..umbea una talents za kutosha TZ..
 
Waje tu aisee

Ingawa ukiondoa umbea uliojaa huko pamoja na kujishoo watz wanajua kutukana insta uwiiiiiiiii matusi yote chini ya jua utayaonea huko

Hofu yangu inachangia kuharibu maadili ya vijana

Ni process ya kutumia technology labda tutazoea tutaacha
na kuitumia better zaidi....

Siku hizi watu wanajiondoa FB na magroup ya Watsapp...taratibu tutazoea
 
Attachments

  • 1421358821525.jpg
    32.9 KB · Views: 378
hivi ww Le mutuz wenzako ndan ya ccm wanandoto yakuwa viongoz wakubwa kweny this nation ww unaprogress kujisifia kisa Lembululaz kaapia kweny coce..??!!ss cc machalii unatufunza nn mkuuuu?
 
- I am The King Of All Bongo Social Media Network the making of my own hands and brain, I make money and I do have fun with my life and I do not give a damn about somebody else life I care only my own happiness ok!!

Le Mutuz
 
ww king gani?kingdom or empire gani unamiliki?umri wote huo ndo unatafta ucelebrity ulikuw wap?huu ni mda wakupokea mafao ww ndo kwanzaaaa upo kweny stage yakukua...
 
mgaie walau milioni moja
 
ww king gani?kingdom or empire gani unamiliki?umri wote huo ndo unatafta ucelebrity ulikuw wap?huu ni mda wakupokea mafao ww ndo kwanzaaaa upo kweny stage yakukua...

- hahahahahahaha ina maana wewe ni mtoto mchanga unayonya maziwa ya mama si ndio? hahahahahaha

Le Mutuz
 
Sijamuelewa huyu jamaa mbona kila mtu jina lake litakuwepo ina maana watanzania wote ni ma star hebu kachambe vizuri chooni mana ma star wameisha
 
View attachment 219274

- Cocacola wenyewe wametoa makopo kwa Mastar, lakini hata wewe unaweza kuwaomba wakakutengenezea mimi sikuwaomba ndio tofauti ya mimi na wewe sawa hahahahahahah umeumia inaonekana duh kopo tu!!

Le Mutuz
 
Ha ha ha ha ha mbavu zangu....ivi ili uwe star kwan unatakiwa uee na sifa zipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…