Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 28,259
- 41,416
wataalam wa lugha watanisaidia hapa kama wewe upo marekani, kumbuka ni vigumu sana kupretend maisha ambayo huna au ukiwa mwongo usiwe mwepesi wa kusahau.
alamsiki ofisa mkubwa wa serikali.
Hivi ni pretend maisha ili iweje? Mbona unaonekana upo too low?
Nimewahi jianzishia thread nikasema naishi USA?
Unajuaje ninavyoandika nilipo? Kila siku MTU anakua palepale hatembei Kama kisiki?
Binadamu kila siku anatembea kutoka sehemu moja kwenda nyingine we inakusumbua nini?
Unaguswa mno na maisha ya watu huishi kukariri hivi nimewahi jitapa nakaa wapi hapa?
What's so special kujitapa unaishi marekani?
Nani kakwambia Mimi afisa mkubwa wa serikali? Unadhani kila aliyepo majuu ni afisa mkubwa wa serikali?
Unajiabisha Sana kujifanya Una exposure kubwa ya maisha kumbe poyoyo tu...
Nakuuliza tena mbona huniweki kwenye ignore list?