Thank You Jamiiforums I am A Big Star and Big Celebrity Cause of You Leo Nitaichangia Tsh. 200,000!!

wataalam wa lugha watanisaidia hapa kama wewe upo marekani, kumbuka ni vigumu sana kupretend maisha ambayo huna au ukiwa mwongo usiwe mwepesi wa kusahau.

alamsiki ofisa mkubwa wa serikali.

Hivi ni pretend maisha ili iweje? Mbona unaonekana upo too low?

Nimewahi jianzishia thread nikasema naishi USA?

Unajuaje ninavyoandika nilipo? Kila siku MTU anakua palepale hatembei Kama kisiki?

Binadamu kila siku anatembea kutoka sehemu moja kwenda nyingine we inakusumbua nini?

Unaguswa mno na maisha ya watu huishi kukariri hivi nimewahi jitapa nakaa wapi hapa?

What's so special kujitapa unaishi marekani?

Nani kakwambia Mimi afisa mkubwa wa serikali? Unadhani kila aliyepo majuu ni afisa mkubwa wa serikali?

Unajiabisha Sana kujifanya Una exposure kubwa ya maisha kumbe poyoyo tu...

Nakuuliza tena mbona huniweki kwenye ignore list?
 
Kwa nini nirudi bongo?

How is this about me while you are the one parading your parasitic philanthropy?

Ha ha ha mkuu unakumbuka ya kule instagram?

Kweli age is just a number....
 
Hivi ni pretend maisha ili iweje? Mbona unaonekana upo too low?

Nimewahi jianzishia thread nikasema naishi USA?

Unajuaje ninavyoandika nilipo? Kila siku MTU anakua palepale hatembei Kama kisiki?

Binadamu kila siku anatembea kutoka sehemu moja kwenda nyingine we inakusumbua nini?

Unaguswa mno na maisha ya watu huishi kukariri hivi nimewahi jitapa nakaa wapi hapa?

What's so special kujitapa unaishi marekani?

Nani kakwambia Mimi afisa mkubwa wa serikali? Unadhani kila aliyepo majuu ni afisa mkubwa wa serikali?

Unajiabisha Sana kujifanya Una exposure kubwa ya maisha kumbe poyoyo tu...

Nakuuliza tena mbona huniweki kwenye ignore list?

povu zaidi ya omo watu wanakusanifu tu humu huishi kujishauwa mara mimi sijui nalipiwa na serikali business class mara oohh niko Sweden, mara ohh niko hapa marekani, mara unamwambia le mutuz aende marekani basi alimradi hata tulionuna unatuburudisha.
 
Uzuri maandishi yako mwenyewe yanakudhalilisha unaonekana juha...

Waulize wanaosafiri tour za kiserikali huwa wanalipiwa daraja gani la ndege halafu unaonekana akili yako ni ndogo Sana kiasi kwamba unafuatilia zaidi maisha ya akina wema kuliko ya nchi...

Suala la serikali kulipia kila mtu business class limelalamikiwa Sana na upinzani tena wanatozwa bei kubwa kuliko kawaida...

Nakushangaa wewe unaeshangaa wakati hadi wasaidizi wa viongozi tu wanapanda madaraja hayo...

Kunitoa povu huwezi kisonoko Kama wewe uliekosa kazi na kuigeuza jf ni sehemu ya maisha yako...

Hivi hayo mambo ya Mimi kusafiri nje mbona hayaingiliani na mada?

Yule mpwa wako mnuka shombo hovyo anaeshinda jf kutwa si alikushauri vizuri Mbona hufuati ushauri wake??

Naomba niweke kwenye ignore list Kama ulivyoahidi....
 
kisu kimegusa mfupa, mwenye kazi sijui huwa unapata wapi muda wa kushinda jf na kuwajuwa wasio na kazi?

kumbuka njia ya muongo ni fupi sana, mpwa wangu Heaven on Earth hata kama kwako ni mnuka shombo kwangu ni wathamani kubwa na sijawahi kumuona humu akigombana na mtu kwenye maandishi yake. hivi unaanzia wapi kumchukia mtu ambaye humjui na wala hakujui?

unamponda le mutuz kumbe unatamani kufika marekani na huna uwezo huo na hata kama ulikuwa na nia hiyo unaonekana wewe ni viza refusal victim.
 
Last edited by a moderator:

Utajipa Sana moyo na dhiki zako...

Okay nichukulie vyovyote unavyojisikia alimradi ujiridhishe...

Sina chuki na kidampa yeyote humu kazi kwako unaedakia mada za kiume....
Sijamtaja MTU jina kwahiyo hayo yako...

Simple question ni kwamba unahitaji nini kwangu?

Nilishafunga mjadala nawewe na sihitaji malumbano yasiyo na msingi hapa...

Sijawahi anika maisha yangu binafsi hapa wala sina mpango...

Kama kwenda marekani kwako ni big deal kiasi cha kutamani pole sana...

Niite upendavyo nichukulie utakavyo but ukweli unabaki palepale na ninao mwenyewe...

Pole Sana kwa kibarua kizito ulichojipa cha kukumbatia mbuyu..
 
ni kweli mimi nina dhiki mpaka unyayoni na ninaishi chini ya dola moja kwa siku, na nabofya keyboard nikiwa ndani ya dar tandale uzuri and am very proud of my status.

vipi mwenzetu habari za marekani aisee? au uko Japan? lini unarudi Sweden?
 
Mkuu timiza ahadi yako yakuniweka kwenye ignore list.....
 
achana na matola mkuu.mwanaume mzima kutwa kufuatilia ugomvi wa wema na kajala sijui atakuwa na akili kweli..matola na le mutuz ni makubwa jinga, empty headed
 
le mutuz, aka John Komba jnr (ki akili na kimwili) mchosho mtupu. KUBWA JINGA
 
Hahahahaaaa le mutuzi!le baharia!LE BABUUUU....wala vumbi wanakugwaya,wana diaspora wanakugwaya,tulia babu ukienda kule nchale ukigeuka huku nchale!lols
 
Le Mutuz umeifanya weekend yangu kuwa nzuri kabisa aisee Mbululazzzzzzzzz watajirekebisha kwan nimegundua wengi wao kimoyoni wanakukubali kuna mmoja anadisi eti Le Mutuz kafungua page Facebook kuja kuchek amelike ahahahahhaha
 
Sikupenda kuchangia hii post sababu inanitia machungu sana lakini ni ukweli, mimi cousin yangu alienda USA 2000 tena alikuwa mwajiriwa wa govt na alipelekwa na govt akafany utaratibu akaenda na mkewe kufika huko mkewe akagoma kurudi, wazazi wakabembeleza wapi na alikuwa na nafasi kubwa tu ofisini . Sasa wadogo zake mambo yetu inshalah yeye ndio anaangaika kujenga Chanika tena kwa mawazo sana .Na anashindwa kurudi sababu umri umeenda na anaona aibu jinsi madogo tunavyotesa kwenye vyumbi letu.
Na cousin/sister naye aliaacha watoto 2 wakiwa na 4yrs leo wana 16yrs hajarudi hata fees ni sisi ndio tunasomesha, na yupo anapiga simu lakini mtu akienda USA anamkwepa hataki kuonana na ndugu yoyote.Mimi nashangaa sijui wakifika huko wanalogwa!!!!
 
Mi nna braza na sista wangu walienda UK 1994 wakarudi 1996 ... hapo sista alijifungua mtoto ...akabaki akifanya biashara zake...braza akarudi UK... hajarudi tena mpaka leo mtoto wa sista yupo advance .....hana nyumba hana kiwanja...hajawekeza chochote...na sometym sisi huku madogo bongo ndio tunamtumia pesa..... maana mpaka tumepata kazi na kujiweza yeye bado tuu..... sasa tunamwambia mkuu si urudi tu kuna nini huko cha maana....mi naona wanakuwa na ukimbukeni afu wamekaaa mbele mda mrefu bila mafanikio wakirudi watupu wanaona sooo....
 
Le Mutuz umeifanya weekend yangu kuwa nzuri kabisa aisee Mbululazzzzzzzzz watajirekebisha kwan nimegundua wengi wao kimoyoni wanakukubali kuna mmoja anadisi eti Le Mutuz kafungua page Facebook kuja kuchek amelike ahahahahhaha

Wewe mlevi kweli
 
Back
Top Bottom