Thank you Mr. President, two US companies sign deal to invest in Kenya

Vipi mchezo wa makinikia na noah kwa kila Mtanzania yaliishia wapi, wanakuja kutia mikataba kwenu na kuwapiga huko huko.
 
Aseme huko anakokuita kuwekeza ni KATIKA nini Ndio utacheka.... Yan food security na kuzalisha umeme WA megawatts 100 Kwa upepo sa hapo anaelipa ni nan Kama sio Kenya kujengwewa hiyo mipangaboi Kwa nn wasije wao tena Kwa kuyashindanisha makampuni ya kujenga mradi huo hapo kuna harufu harufu fulan
 
Hayo mambo ya food security si tunayo kitambo na huo umeme WA upepo Upo na tunajenga tena maeneo ya SINGIDA zaid na zaid Sasa kwenda hadi marekan Kwa Shughul hiyo Mmmmh Mzee Sema umeenda kuspend tu huko
 
wakati mwingine wekeni utani pembeni, food safety and security ni habari ya dunia ya kwanza na investiment yake ni ya hatari.
 
Msukuma akiona iv ananuna sana.....

Sent using Jamii Forums mobile app
We una utaahira kweli yaani JPM aumwe roho na vijibilioni 600? Seriously? Huko ni kumdhalilisha Rais, mkataba ambao ni just mawaziri wa Uganda πŸ‡ΊπŸ‡¬ and Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ juzi wwmetiliana sign in a just a very low profile ni worthy of 2.5 USD billion na JPM hata hakuhudhuria
 
Hizo kwa kimombo wanaziitaga 'happening in the sidelines', yaani ni kama kazi ya ziada. Hao wawekezaji ndio wamemfata wakapata nafasi ya kuwa kwenye kikao hicho, kupitia serikali yao.
That peanut agreement is the highest quality of embarrassment to the president, some 200m is just a chicken feed.
 
Dolar milioni 230? Duh! Yaani kakwea pipa kwa ajili ya huo mradi? Pesa ndogo sana hiyo kwa taifa "kubwa" kama Kenya kupayuka. Hii ingefanywa kimya kimya.
 
wakati mwingine wekeni utani pembeni, food safety and security ni habari ya dunia ya kwanza na investiment yake ni ya hatari.
😁 😁 😁 😁 unajua maana ya food safety and security? Au kisa maneno ya English basi na wewe ukachanganyikiwa? Hiyo biashara hata bibi yako huko kijijini anaimudu vizuri tu.
 
Bado hazitoshi ..Ongeza mboga... zinafaa zifike angalau $500m total
Ni dhahiri shairi wa marekani wameona Kenya ni malnutrition country hunger stricken in bigger time all times ndio maana they tried to help you

Nilijua kwa kelele zile itakua ni real business talk kumbe ni humanitarian charitable event πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

Hata Tanzania tunawamudu kama ndio hivi sababu tumekua your refuge for all those years of hunger until forever kweli njaa inawanyanyasa ndugu zetu.
 
😁 😁 😁 😁 unajua maana ya food safety and security? Au kisa maneno ya English basi na wewe ukachanganyikiwa? Hiyo biashara hata bibi yako huko kijijini anaimudu vizuri tu.
sawa mkuu inawezekana lugha ya malkia imenichanganya. ila jaribu kufatilia kama wenzetu huwa wanakula mboga za mto msimbazi na mahindi yaliyohifadhiwa kwenye ndoo. ujenzi wa maabaara ya chakula ni bei gani, na zitakuwa ngapi? uhifadhi wake itakuwaje? investiment ya big data ni kiasi gani? wakulima wetu wanafuata utaalamu kwenye kilimo? ni hayo tu.
 
😁 😁 😁 😁 unajua maana ya food safety and security? Au kisa maneno ya English basi na wewe ukachanganyikiwa? Hiyo biashara hata bibi yako huko kijijini anaimudu vizuri tu.
Dolar milioni 230? Duh! Yaani kakwea pipa kwa ajili ya huo mradi? Pesa ndogo sana hiyo kwa taifa "kubwa" kama Kenya kupayuka. Hii ingefanywa kimya kimya.
Povu imewatoka kiasi hicho na bado Theresa May hajaingia, Je Akienda China si mtakuwa hii design
 
hata kualikwa hamja alikwa mtawalamba vipi miguu?
😁 😁 😁 😁 tualikwe halafu tukadhalilishwe na hivyo vishilingi vya sukuma? Hapana kwa kweli, keep your invitation for yourself
 
😁 😁 😁 😁 tualikwe halafu tukadhalilishwe na hivyo vishilingi vya sukuma? Hapana kwa kweli, keep your invitation for yourself

nani awaalike mkuu? alafu unadhani kuna world leader anaweza kumualika ********? watajadili nini? kwa lugha gani? wacha wanaojitambua waalikwe aise, nyie Museveni ndie size yenyu coz mkuu wa nchi ana behave nikama mkubwa wa nyumba kumi hivi. Mzaha kando, huwa hamuoni aibu mkuu anavyoongea nikama hajasoma?
 
That peanut agreement is the highest quality of embarrassment to the president, some 200m is just a chicken feed.
Acha ushamba, hiyo agreement ni kati ya hizo kampuni mbili na Kenya huo sio mradi wa serikali ya U.S. Hata vitu rahisi kama hivyo pia unataka uchorewe kibonzo ndio uelewe?
 
There is alot to learn from JPM's Diplomacy policy..There is no way a whole president goes to usa and secures $200m in bilateral partneships. While JPM sits at statehouse and even "stranger" people like arabs of UAE drops some free $400m on dodoma infrastructure.
JPM must be doing something right, even when you are seducing a girl, playing hard to get pays off..No one wants a malaya who cant keep her pu.ssy at home..
 
Tupe maoni yako kuhusu Nigeria and S.A ambao marais wao pia walialikwa White House. Unataka Kenya waige kutoka kwa nani, yaani tusiige ya S.A, tufate ya Malawi au Somalia?
 
Tupe maoni yako kuhusu Nigeria and S.A ambao marais wao pia walialikwa White House. Unataka Kenya waige kutoka kwa nani, yaani tusiige ya S.A, tufate ya Malawi au Somalia?
Nigeria has alot of US oil companies doing business there worth billions.
But frankly $200m in bilateral deals ni kazi ya waziri wa mambo ya nje not the president
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…