MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Wakenya kweli mmechoka,,yaani wawekezaji mpaka muwende kuwabembeleza huko ughaibuni,,halafu mnatiliana mikataba ya kihuni huko kwao
Huku kwetu hakuna haja ya kuwafuata huko,,wanakuja wenyewe kwa gharama zao then tunaweka makubaliano mezani
Kalaghabhaho..!
Sent using Jamii Forums mobile app
Vipi mchezo wa makinikia na noah kwa kila Mtanzania yaliishia wapi, wanakuja kutia mikataba kwenu na kuwapiga huko huko.