View attachment 229253
View attachment 229254
- Jamani ndugu zangu heshima mbele sana ni heshima kubwa sana kwa mimi Mwana-JF mwenzenu kukubalika sana na jamii lets all celebrate that, kwanza ilikuwa kampuni ya Cocacola walinitengenezea kopo sasa Gazeti maarufu la kisasa katika jamii yetu limenipa heshima ya kuwa kwenye Cover Magazine yake toleo la February/2015.
Ndani yake kuna historia nzima ya maisha yangu mpaka kufikia hapa nilipo ni kitu wanasema wanafanya na watu wenye influence kubwa na jamii tu, kwa kweli I am humbled sana so jamani msikose nakala ya Mwana JF mwenzenu si unajua mcheza kwao hutunzwa!
- Si unajua always kwamba umaarufu wangu na jamii ulianzia hapa hapa Jamiiforums, so please join me to celebrate this I mean the reward from the Society we live in, kwamba wanakubali kuwa nina influence kubwa sana na Jamii.
Le Mutuz..
Do I have to show u that my toilet is far better than ua office
Yeah kaka, unastahili.
nauliza hivi cocacola wamemtengenezea kopo lenye jina lake yeye peke yake....? au?
Le matakoz, Le mburulaz kubwa jinga, shoga la downtown! Ile video yako unaliwa kiboga nimeiona leo.
just to advice
jaribu kuact kama mtu mzima anaejitambua
congratulations anyways though i dont see a point mpaka uje uandike humu jamvini,do not talk,let people see, kibaya chajitangaza,kizuri chajiuza bilahata kujitangaza
good day le mburulazzz ... you know..
Jf bhana ina wengi na ina mengi yaani mtu anajifagilia kama karanga
na isitoshe mzee mzima kujiproud mitandaoni anaona sifa je siye
itakuwaje
makubwa haya
Eh!! Kuna watu wanapenda umaarufu, yaani mpaka kuulazimisha kwa kutumia mambo yakijingajingaaaa!!
- Makopo 20 ya kwanza yalitengenezwa na Cocacola wenyewe na kwa wale tu waliowachagua ila sasa hata wewe unaweza kupata, hahahahaha
Le Mutuz
bahati mbaya, sio mnywaji wa soda hizo mara kwa mara, na wala siwezi kuhangaika eti natafuta kopo lenye jina langu....