Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

Status
Not open for further replies.
Eh!! Kuna watu wanapenda umaarufu, yaani mpaka kuulazimisha kwa kutumia mambo yakijingajingaaaa!!
 
Haaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Attachments

  • 1424789066512.jpg
    1424789066512.jpg
    84.5 KB · Views: 202
  • 1424789085121.jpg
    1424789085121.jpg
    136.1 KB · Views: 201
  • 1424789104149.jpg
    1424789104149.jpg
    70.8 KB · Views: 194
  • 1424789122182.jpg
    1424789122182.jpg
    48.1 KB · Views: 197
  • 1424789139770.jpg
    1424789139770.jpg
    39.6 KB · Views: 182
  • 1424789158522.jpg
    1424789158522.jpg
    50.2 KB · Views: 183
  • 1424789173342.jpg
    1424789173342.jpg
    54.6 KB · Views: 186
  • 1424789190442.jpg
    1424789190442.jpg
    82.6 KB · Views: 184
  • 1424789207944.jpg
    1424789207944.jpg
    66.4 KB · Views: 193
  • 1424789225389.jpg
    1424789225389.jpg
    144.2 KB · Views: 201
View attachment 229253
View attachment 229254

- Jamani ndugu zangu heshima mbele sana ni heshima kubwa sana kwa mimi Mwana-JF mwenzenu kukubalika sana na jamii lets all celebrate that, kwanza ilikuwa kampuni ya Cocacola walinitengenezea kopo sasa Gazeti maarufu la kisasa katika jamii yetu limenipa heshima ya kuwa kwenye Cover Magazine yake toleo la February/2015.

Ndani yake kuna historia nzima ya maisha yangu mpaka kufikia hapa nilipo ni kitu wanasema wanafanya na watu wenye influence kubwa na jamii tu, kwa kweli I am humbled sana so jamani msikose nakala ya Mwana JF mwenzenu si unajua mcheza kwao hutunzwa!

- Si unajua always kwamba umaarufu wangu na jamii ulianzia hapa hapa Jamiiforums, so please join me to celebrate this I mean the reward from the Society we live in, kwamba wanakubali kuwa nina influence kubwa sana na Jamii.

Le Mutuz..

just to advice
jaribu kuact kama mtu mzima anaejitambua
congratulations anyways though i dont see a point mpaka uje uandike humu jamvini,do not talk,let people see, kibaya chajitangaza,kizuri chajiuza bilahata kujitangaza
good day le mburulazzz ... you know..
 
Do I have to show u that my toilet is far better than ua office
 
Le matakoz, Le mburulaz kubwa jinga, shoga la downtown! Ile video yako unaliwa kiboga nimeiona leo.
 
nauliza hivi cocacola wamemtengenezea kopo lenye jina lake yeye peke yake....? au?
 
nauliza hivi cocacola wamemtengenezea kopo lenye jina lake yeye peke yake....? au?

- Makopo 20 ya kwanza yalitengenezwa na Cocacola wenyewe na kwa wale tu waliowachagua ila sasa hata wewe unaweza kupata, hahahahaha

Le Mutuz
 
Le matakoz, Le mburulaz kubwa jinga, shoga la downtown! Ile video yako unaliwa kiboga nimeiona leo.

- Kumbe una video yako unafanyiwa nini mkuu sijakuelewa ila hujaulizwa maana hii ni topic ya VibemagazineTz sasa mbona umeleta mambo yako binafsi hapa hatuna shida na tabia zako hahahahahahah

Le Mutuz
 
just to advice
jaribu kuact kama mtu mzima anaejitambua
congratulations anyways though i dont see a point mpaka uje uandike humu jamvini,do not talk,let people see, kibaya chajitangaza,kizuri chajiuza bilahata kujitangaza
good day le mburulazzz ... you know..

- hahahaha ina maana umenisoma tena live and very clear I am humbled!!

Le Mutuz
 
Jf bhana ina wengi na ina mengi yaani mtu anajifagilia kama karanga
na isitoshe mzee mzima kujiproud mitandaoni anaona sifa je siye
itakuwaje

makubwa haya

- Kutokea kwenye gazeti kubwa kama Vibe ni kitu kikubwa sana labda wewe huwa unatokea kila siku ndio maana sio ishu kwako, hahahahahaha

Le Mutuz
 
Eh!! Kuna watu wanapenda umaarufu, yaani mpaka kuulazimisha kwa kutumia mambo yakijingajingaaaa!!

- hahahaha yaani genius umekuja kumjibu mtu mjinga mjinga badala ya kumpitia mbali makubwa haya hahahahahaha

Le Mutuz
 
- Makopo 20 ya kwanza yalitengenezwa na Cocacola wenyewe na kwa wale tu waliowachagua ila sasa hata wewe unaweza kupata, hahahahaha

Le Mutuz

bahati mbaya, sio mnywaji wa soda hizo mara kwa mara, na wala siwezi kuhangaika eti natafuta kopo lenye jina langu....
 
bahati mbaya, sio mnywaji wa soda hizo mara kwa mara, na wala siwezi kuhangaika eti natafuta kopo lenye jina langu....

- Mimi sikutafuta nililetewa ila wewe unatakiwa kulitafuta maana sio Celebrity kama mimi au hujaelewa bado? hahahahaha

Le Mutuz
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom