Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

Status
Not open for further replies.
- Karibu sana mkuu ofisi yangu ipo downtown bongo Tancot House 2nd floor, anytime unakaribishwa mamen hapa ni kazi tu!! NA KABLA HUJAJA halla at +255 717 618 997 kama nipo ila hapa kila mtu anakaribishwa as long as ni business!!

Le Mutuz


Acha utoto we kizee
 
Kumbe bando za ofisini ndo zinakupa jeuli

- Yaaap ofisi yangu si unajua at downtown bongo hii ilikuwaga ofisi ya Mwapachu alipokuwa Meneja wa Air Tanzania halafu hata Waziri wa Sheria ana ofisi zake hapa nja Wanasheria wakubwa wengi sana hapa mjini wapo hapa ni majirani karibu sana na wewe for business ok, hahahaha eti na wewe una ofisi hapa mjini au? hahahaha

Le Mutuz
 
Full of bando plz usikimbie
 

Attachments

  • 1424798426149.jpg
    1424798426149.jpg
    55.9 KB · Views: 159
huyu mzee haishi vituko, haya babu endelea kupiga pesa
 
(hahahahahaha)Bro le mutuz unamaana gani kuandika hayo maneno mbona ni kama maneno ya kiumbea flani kwani wewe ni miongoni mwa wakalia jamvi (kinashosti)?
 
Hizo page zinakusaidia nini wakati unajijibu mwwnyewe ili tu uziongeze, we jamaa unashangaza sana,

- Zinanisaidia kuandikwa kwenye cover la VibemagazineTZ lakini sio wewe maana huwezi kufikisha hata comment mbili tu labda zako mwenyewe cause sio Celebrity kama mimi au? hahahahaha

Le Mutuz
 
Teh Teh naona watu wanacheza muziki wa Lemutuz.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom