Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hivi kwanini le mutuz amekua akipingwa vikali kwa kila analoongea au analofanya? mimi binafsi naona anaendesha maisha yake apendavyo yeye bila kumuathiri mtu yeyote
Una miaka mingapi mkuu??- Kumbe wewe ni kasorobo duh hahahahahahaha
Le Mutuz
Hapo umefikia mwisho kabisaa wa uwezo wa kufikiri...ati unasaka ubilionea at late 50's kwa kufanya ukuli
Nina wasiwasi na malezi yako utotoni!,kiufupi nikwambie tu kwamba haustahili kufanya haya uyafanyayo kwa umri wako! Hata kama uko kwenye socio netz.Kuna umri ukifika hustahili ku-act ama kufanya vitu flani ambavyo watu wenye busara watakudharau na kushindwa wakuweke kundi gani.
Najua utanijibu kwa kebehi na matusi lakini huu ni mtazamo wangu,binafsi nilidhani ungejijengea heshima sana kama ungekuwa ukijadili mambo ya maana katika socio netz,mfano njaa vijijini,maisha magumu wa wa-tz,mfumuko wa bei,rushwa,uzandiki.Nilitegemea kwa kuwa umepata mwanga kidogo nje ya nchi ungekuja na kitu tofauti,lakini badala yake unafanya yale yale.Nashindwa kukutofautisha na mwanafunzi aliyemaliza IT pale IFM na kuanzisha ki-socio net (ki-blog/website)chake na kuanza kujadili mambo yasiyo na mbele wala nyuma.Labda nikuulize tofauti yako ni nini na wamiliki wengine wa v-blog?.Kwa nini unapenda kujiingiza katika malumbano yasiyo na msingi na kusababisha uonekane usiyefaa na pia kudharaurika.
Take this:Kama kuna watu wanakusifia kwa tabia zako basi ni wanafiki,em chukua muda kutafakari marafiki zako wa karibu ni wa aina gani acha wale wenye heshima zao ambao mpaka uwasalimie wewe na sio wao kukutafuta wewe,kisha ukipata jibu usinijibu,
Najua utatukana ila nadhani umeelewa
big show , big up
long live wc le mutuz noo mooo stress....lov yuu had naumwa
avata inaonyesha ni mwanaume ila post zake zimeambatabna na michambo na taarab kama mwanamke wa kizaramo
Wa2 wanaweka majina internationally oscars na magazeti makubwa kma lupita jibaba zima limekalia kuuza sura kwa sifa 2,kila cku yeye anamake money bt maisha yke hana tofauti n waganga njaa 2
- hahahahahaha nipo mwenyewe hapa si unanijua le big Celeb hahahahaha
Le Mutuz
We jamaa kiboko yako ni Msando tu kelele nyiiingi lakini kwa chalii ya R uliufyata mbaya Pwa hahahahahaha
Hata hivyo hongera kwa Vibe kukuona nadhani mtaji wa kuwapatia sio inshu hivi ni laki kadhaa unakuwa front page eeeh!
Aisee we ni bingwa wa kufosi kingi dah!
Lazma ameforce kwa nguvu nyingi na kwenda kubembeleza wamtoe jamaa anapenda sifa wema atasubiri
We jamaa kiboko yako ni Msando tu kelele nyiiingi lakini kwa chalii ya R uliufyata mbaya Pwa hahahahahaha
Hata hivyo hongera kwa Vibe kukuona nadhani mtaji wa kuwapatia sio inshu hivi ni laki kadhaa unakuwa front page eeeh!
Aisee we ni bingwa wa kufosi kingi dah!
Lazma ameforce kwa nguvu nyingi na kwenda kubembeleza wamtoe jamaa anapenda sifa wema atasubiri
Mkuu mi najuwa mchongo wote aliotumia kujitoa kwenye hilo jarida
Na gharama alizotumia kuhonga ili wamtoe
Nitarudi hapa siku sio nyingi kuweka kila kitu wazi
Ha ha ha ha.....Sijui ana akili gan huyu kiumbe...nahs karogwa aisee......
We jamaa kiboko yako ni Msando tu kelele nyiiingi lakini kwa chalii ya R uliufyata mbaya Pwa hahahahahaha
Hata hivyo hongera kwa Vibe kukuona nadhani mtaji wa kuwapatia sio inshu hivi ni laki kadhaa unakuwa front page eeeh!
Aisee we ni bingwa wa kufosi kingi dah!
- Hapana naamini wana policy za gazeti ni wao wanakupigia huwezi kuwapigia, walinipigia wakaniomba appointment wakaja ofisini kwangu downtown, hahahahahaah pole sana!!, unahitaji kuwa Celebrity kujua haya mambo kama sio ndio utalopoka hovyo!!
Le Mutuz
- Well page 10 tayari kama kawaida nikitajwa tu hapa lazima zifikie 10 live!!
Le Mutuz