William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Thread starter
- #201
Celebrity inanisaidia nini kwenye life yangu sijajua hela leo au jana niko kwenye game miaka na maisha murua,wala sihitaji kujikomba kwa m2 nipande kimaisha
- Waliopanda kimaisha huwa hawana shida na wengine huwa wanajali maisha yao maana wanakuwa busy sana na maisha yao, sasa wewe umepanda na mimi nakutesa? hahahahahahahaha kumbe huwa unajikomba kwa watu maana unajisema mwenyewe hahahahaha
Le Mutuz
