- Karibu sana mkuu ofisi yangu ipo downtown bongo Tancot House 2nd floor, anytime unakaribishwa mamen hapa ni kazi tu!! NA KABLA HUJAJA halla at +255 717 618 997 kama nipo ila hapa kila mtu anakaribishwa as long as ni business!!
Le Mutuz
Le mutuz au out of bando?
anastahili nini kaka yako huyu ....?
Aah jamaa anakubalika sana.
Wewe mwenyewe ndo kiongozi wa wanaomkubali.
Kumbe bando za ofisini ndo zinakupa jeuli
- Page ya 8 sasa hahahahahahaha umemuona enhee hahahahaha
Le Mutuz
Hizo page zinakusaidia nini wakati unajijibu mwwnyewe ili tu uziongeze, we jamaa unashangaza sana,
Teh Teh naona watu wanacheza muziki wa Lemutuz.
Teh Teh naona watu wanacheza muziki wa Lemutuz.