Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,585
- 15,468
- Kumbe wewe ni kasorobo duh hahahahahahaha
Le Mutuz
Majibu yako yamekaa kitoto kitoto, yananikumbusha darasa la pili, mtu akikwambia, 'ona tumbo kubwa kama una kwashakoo',unaweza mjibu:,'kumbe una kwashakoo, umejisema!'.Totally childish.