Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

Thank You People, Kwanza ilikuwa Cocacola, Now Vibe MagazineTz

Status
Not open for further replies.
Plus huyu kikongwe ananifanya niamini kuwa kadri unavyozeeka unakuwa na mawazo ya kitoto
 
Majibu yako yamekaa kitoto kitoto, yananikumbusha darasa la pili, mtu akikwambia, 'ona tumbo kubwa kama una kwashakoo',unaweza mjibu:,'kumbe una kwashakoo, umejisema!'.Totally childish.

- Saikolojia na kwa kawaida Topic ikiwa VibemagazineTz ukaleta mambo ya kwashakoo ina maana unayo, maana mtumzima mwenye akili timamu hawezi kuongelea kwashakoo kwenye topic ya VibemagazineTZ unless ana kwashakoo, hahahahaha

Le Mutuz
 
Plus huyu kikongwe ananifanya niamini kuwa kadri unavyozeeka unakuwa na mawazo ya kitoto

- Kwa hiyo una maana watu wote wanavyozeeka wanakuwa na mawazo ya kitoto, na gazeti kuwa lenye heshima kama VibemagazineTZ limekuacha wewe mwenye akili za kikubwa likanitafuta mimi mwenye akili za kitoto? hebu soma unachokisema mkuu mbona unakuwa mtoto sana kikakili kwenye great thinkers? duh

Le Mutuz
 
Kipimo cha ujinga no maneno au mawazo yatokayo kwa mtu husika so huyu kikongwe W.J.Malecela naona anataka kutuonyesha jinsi alivyo zuzu

- Na bado unaendelea kuchangia kwenye topic ya mtu mwenye akili ya kitoto, hahahahahahaha kweli great thinker

Le Mutuz
 
Iyo ndo dawa ya wazee kama nyinyi
 

Attachments

  • 1424782420111.jpg
    1424782420111.jpg
    89.7 KB · Views: 286
Mzee mzima unaacha kukaa na wajukuu zako uwasimulie hadithi unazunguka kutafuta promo kwenye magazine
 
Unapigwa magep na watoto wadago tu kama paul makonda. Haaaaaa! Ludi kwenu ukachimbe mitishamba tu
 
Unapigwa magep na watoto wadago tu kama paul makonda. Haaaaaa! Ludi kwenu ukachimbe mitishamba tu

- Laiti ungelijua tu wala usingesema maana hujui ninafanya nini, hao unaowataja wanakuja hapa ofisini kwangu kila siku pole sana, hahahahahaa

Le Mutuz
 
Le Mutuz Nation mzee wa bebez...Le Baharia,Mzee wa Mbelez..Super Star,Mtoto wa Downtown...Philosopher,Mutu wa watu..
Upcoming Bilionaire..hahah..
 
Nachokupendeaga haswa ni jins unavyojiamin, na uthubutu ulokua nao wa kujib hoja. Jmn mwachen aishi atakavyo si nyie mtakavyo, kwn mnamlipia bill zake???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom