Thank you Valentine Babes For the Ride ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Thank you Valentine Babes For the Ride ๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Aaahahahahahhaaaa

Its all about being ready
Being positive even on negative issues.
And enjoy the moment to the fullest.
Hapo kwenye being positive even on negative issues i can't do so! Siwezi aise japo ndio sense of maturity in relationship , ntajaribu
 
Haya maneno ni hela tu, ukiwa na hela hii mambo mbona simple tu.

Ngumu sana kuonyesha love(kisasa) bila pesa. Wakuu ikibidi hata njia za mkato tu ili tuzikamate jamani. Ona jamaa alivyom-spoil Kasinde.
Oya mtafute Ginimbi atupe michongo haiwezekani
 
Haya mambo unaeza kujikuta wewe unaishia kula maembe dodo tu wenzio wanafaidi huko[emoji3056][emoji3056][emoji3056][emoji3056][emoji3056][emoji3056]
 
Maua ya picha ya kwanza na maua ya picha ya tatu hayafanani..

Dashboard ya picha ya pili na dashboard ya picha ya tatu hazifananii..

Surprise trip ukabeba two different handbags.. Refer pic number 1 and 3 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Fake it until you make it..

Happy Valentine's..

Always in this world there are people who will look on the negative part of a thing rather than the positivity....!

Its okay.

Better thing is, I detailed it earlier that those are two different days.

In the earlier posts I elaborate that please go and check it, and if you wonโ€™t go to check the cars were rented.... for two diffenet days i.e. Saturday and Sunday ....

May be if thereโ€™s something else that you decide to see in your eyes that is fake.

And why should I....!

For Who....!!!?

For What....!??๐Ÿ˜ณ

This is Kasie, was and will ever be....

Kโ€™ Mahaba Matata๐Ÿ˜‰.

Have a good day, enjoy your lunch and hi 5 to your loved ones.

Sorry for my bad English, I borrowed it from my neighbour.
 
Haya maneno ni hela tu, ukiwa na hela hii mambo mbona simple tu.

Ngumu sana kuonyesha love(kisasa) bila pesa. Wakuu ikibidi hata njia za mkato tu ili tuzikamate jamani. Ona jamaa alivyom-spoil Kasinde.

Ni kweli kabisa usemacho..

Sijui ametumia pesa ngapi kukodi magari but what I know is, I had quality moment with him.

Am thankful kwakweli uuuhhhh...!
 
Haya mambo unaeza kujikuta wewe unaishia kula maembe dodo tu wenzio wanafaidi huko[emoji3056][emoji3056][emoji3056][emoji3056][emoji3056][emoji3056]

Saanaaaaaa aahahahahahahaaa.
 
Aaahahahahahhahaahaa

Acha fujoo, huyo hata hahusiki hapa anaogopa โ€˜Rona kajifungia weekend yote.

Ye mwenyewe Bataringaya akipita hapa atatoa mimacho....๐Ÿ˜œ

Uko poa lakini Whackie...?
Duh kweli ukisusa wenzio wanakula!
 
Duh kweli ukisusa wenzio wanakula!

CD2D883C-8C33-4419-9087-962F857323EE.jpeg

Karibu turejeshe afya ya mwili ....๐Ÿ˜‹

Unafikiri mie nna taaabu basi Bataringaya.....๐Ÿ˜œ Mabungo tuu na Sanvita....

Kwisha habari yangu.

Hivi unamkumbuka yule bibi wa Kihindi jina lake nimelisahau.... alikuwa ukimcheka kama yuko karibu yako anakutemea mate au anapandisha gauni juu......!!?๐Ÿคช
 
View attachment 1703286

Duh simsahau yule Rabia! Nilikuwa simfahamu nikampitia karibu alinitemea mate nilisikia harufu wiki nzima!
 
Duh simsahau yule Rabia! Nilikuwa simfahamu nikampitia karibu alinitemea mate nilisikia harufu wiki nzima!

Aaahahahahahaaahahahaha Bataringaya banaa.

Respisius wa pale magorofani kwa baba Taibali hakukwambia mapema...!???
Polee, sijui imekuwaje nimemkumbuka aahahahahahaaa.

How was your weekend...!??
 
Mileage ya trip imesoma ngapi kasie mahaba.!?
 
Mileage ya trip imesoma ngapi kasie mahaba.!?

Sikunakili maana aliyekuwa anaendesha /muongoza njia ni Valentine Babes.

Mie nilikiwa nafurahia wakati tuu vile naendeshwa, napelekwa huku na kule, yaani...... raha mpaka kumoyooo ๐Ÿ˜‹.

Sikuzingatia tunaenda umbali gani....!
#livethemoment
 
Ila mlifika pamoja?!!
 
Ila mlifika pamoja?!!

Aaahahahahahhaaaaa looh...!

Baba Taibali mbona hivyooo

Ntakurejeshea tuu huu uchokozi...๐Ÿ˜œ

Yeah, tulifanikiwa kufika pamoja aaahahahaha ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Yaani weewe๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…, hivi mabungo yangu nayapataje lakini....!???

Hapa nna usingizi ila sitaki kulala, kama mabungo yapo saa hizi niambie niyafate chaaap

Pilipili nnayo hapa......!๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹๐Ÿ˜‹

20CB903E-55E1-4288-9F58-29DF9C4633F9.jpeg
 
Back
Top Bottom