Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Next time zingatia Kilometer Kasie Mahaba
Unatupa tabu tunaomuonea wivu Jamaa anavofaidi
WoyoooooooohShukria.
Sawa ntazingatia.
Wakati ujao Bataringaya hatawaangusha ...[emoji28]
Sema hapendi watu wajue hivyo itakuwa kimya kimya tuu, ama laah nikijaleta mrejesho ntawajibu sijazingatia tumeenda kilometa ngapi....
Kumbe tumeenda hadi Nakuru na kurudi non stop trip [emoji28][emoji39][emoji39][emoji39].
Usimwambie mtu maneno haya wala RRONDO asione hapa.
NN nishamjua aiseee pale ulichagua niliwahi kuona pic yake yuko π₯π₯π₯Wee naweee sio hiyooo....ππ
Huyu ni kasie mwenyewe au account imehakiwaEwaaaah huyo ndo babu wa bibi, twapokezana kula ugoro...[emoji3].
Bibi umejipata lkn mbona km babu kuna sehemu nilimuona anaimbisha mtu mistari πEwaaaah huyo ndo babu wa bibi, twapokezana kula ugoro...π.
Bibi umejipata lkn mbona km babu kuna sehemu nilimuona anaimbisha mtu mistari π
Wacha weeee!! Bibi unajiamini km Iran πππAsili yake muafrika, Msukuma orijinale mie mwenyewe mnyamwezi tunajuana kwa vilemba.......π.
Mwanaume wa kiafrika yeyote yule aliyekamilika idara zote za kiume hawezi tulia na mwanamke mmoja. Nafahamu na najua sana anaimbisha huku na kule, hilo si tatizo kikubwa muda wa kuvuta ugoro tunakuwa pamoja bambam, mengine hayanihusu miyee.
Akinipa raha zake inanitosha, wacha asambaze upendo kwa wengine pia.
Kasinde Matata π.
Wacha weeee!! Bibi unajiamini km Iran πππ
Huna presha watakunywa soda ila chupa lazima irudi kiwandani π
Bibi hapo nimekukubali full maconfidence π
Watu weuweeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asili yake muafrika, Msukuma orijinale mie mwenyewe mnyamwezi mizigo mizito ndo jadi yangu, tunajuana kwa vilemba.......[emoji4].
Mwanaume wa kiafrika yeyote yule aliyekamilika idara zote za kiume hawezi tulia na mwanamke mmoja. Nafahamu na najua sana anaimbisha huku na kule, hilo si tatizo kikubwa muda wa kuvuta ugoro tunakuwa pamoja bambam, mengine hayanihusu miyee.
Akinipa raha zake inanitosha, wacha asambaze upendo kwa wengine pia.
Kasinde Matata [emoji6].
Hahaha bibi ππ€£Dear Valentine Babes....π
Though am tired for the trip but am super exited for the next trip...π₯°
I reserve all the stamina for April babes, am hyper than ever.
My eyes are halfway open.
Canβt say more than thank you darling Valentine for the surprise trip.
Be blessed always πππ
View attachment 1702640
This Saturday morning...
View attachment 1702641
Saturday late noon....
Paparazzi lets go slowly, more events to come π.
View attachment 1702644
The event day...π₯°
My throat still remember the screaming came out for this.... π
Kasinde Matata.
Sema bibi unapenda mapenzi sijui kwann π€£
ππ Sawa bibi tamtamBibi anatambulika kama Kasinde Mahaba Matata...
Hiyo ndo sababu kuu.
Asili ya bibi ndiko mapenzi yalikozaliwa na kule inakorinwa asali.... unategemea nini sasa hapo zaidi ya kupenda utamu....π.