Thank you Valentine Babes For the Ride 😍😍

Aaahahahahahhaaaa

Its all about being ready
Being positive even on negative issues.
And enjoy the moment to the fullest.
Hapo kwenye being positive even on negative issues i can't do so! Siwezi aise japo ndio sense of maturity in relationship , ntajaribu
 
Haya maneno ni hela tu, ukiwa na hela hii mambo mbona simple tu.

Ngumu sana kuonyesha love(kisasa) bila pesa. Wakuu ikibidi hata njia za mkato tu ili tuzikamate jamani. Ona jamaa alivyom-spoil Kasinde.
Oya mtafute Ginimbi atupe michongo haiwezekani
 
Haya mambo unaeza kujikuta wewe unaishia kula maembe dodo tu wenzio wanafaidi huko[emoji3056][emoji3056][emoji3056][emoji3056][emoji3056][emoji3056]
 
Always in this world there are people who will look on the negative part of a thing rather than the positivity....!

Its okay.

Better thing is, I detailed it earlier that those are two different days.

In the earlier posts I elaborate that please go and check it, and if you won’t go to check the cars were rented.... for two diffenet days i.e. Saturday and Sunday ....

May be if there’s something else that you decide to see in your eyes that is fake.

And why should I....!

For Who....!!!?

For What....!??😳

This is Kasie, was and will ever be....

K’ Mahaba MatataπŸ˜‰.

Have a good day, enjoy your lunch and hi 5 to your loved ones.

Sorry for my bad English, I borrowed it from my neighbour.
 
Haya maneno ni hela tu, ukiwa na hela hii mambo mbona simple tu.

Ngumu sana kuonyesha love(kisasa) bila pesa. Wakuu ikibidi hata njia za mkato tu ili tuzikamate jamani. Ona jamaa alivyom-spoil Kasinde.

Ni kweli kabisa usemacho..

Sijui ametumia pesa ngapi kukodi magari but what I know is, I had quality moment with him.

Am thankful kwakweli uuuhhhh...!
 
Haya mambo unaeza kujikuta wewe unaishia kula maembe dodo tu wenzio wanafaidi huko[emoji3056][emoji3056][emoji3056][emoji3056][emoji3056][emoji3056]

Saanaaaaaa aahahahahahahaaa.
 
Aaahahahahahhahaahaa

Acha fujoo, huyo hata hahusiki hapa anaogopa β€˜Rona kajifungia weekend yote.

Ye mwenyewe Bataringaya akipita hapa atatoa mimacho....😜

Uko poa lakini Whackie...?
Duh kweli ukisusa wenzio wanakula!
 
Duh kweli ukisusa wenzio wanakula!

Karibu turejeshe afya ya mwili ....πŸ˜‹

Unafikiri mie nna taaabu basi Bataringaya.....😜 Mabungo tuu na Sanvita....

Kwisha habari yangu.

Hivi unamkumbuka yule bibi wa Kihindi jina lake nimelisahau.... alikuwa ukimcheka kama yuko karibu yako anakutemea mate au anapandisha gauni juu......!!?πŸ€ͺ
 
Duh simsahau yule Rabia! Nilikuwa simfahamu nikampitia karibu alinitemea mate nilisikia harufu wiki nzima!
 
Duh simsahau yule Rabia! Nilikuwa simfahamu nikampitia karibu alinitemea mate nilisikia harufu wiki nzima!

Aaahahahahahaaahahahaha Bataringaya banaa.

Respisius wa pale magorofani kwa baba Taibali hakukwambia mapema...!???
Polee, sijui imekuwaje nimemkumbuka aahahahahahaaa.

How was your weekend...!??
 
Mileage ya trip imesoma ngapi kasie mahaba.!?
 
Mileage ya trip imesoma ngapi kasie mahaba.!?

Sikunakili maana aliyekuwa anaendesha /muongoza njia ni Valentine Babes.

Mie nilikiwa nafurahia wakati tuu vile naendeshwa, napelekwa huku na kule, yaani...... raha mpaka kumoyooo πŸ˜‹.

Sikuzingatia tunaenda umbali gani....!
#livethemoment
 
Ila mlifika pamoja?!!
 
Ila mlifika pamoja?!!

Aaahahahahahhaaaaa looh...!

Baba Taibali mbona hivyooo

Ntakurejeshea tuu huu uchokozi...😜

Yeah, tulifanikiwa kufika pamoja aaahahahaha πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Yaani weeweπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…, hivi mabungo yangu nayapataje lakini....!???

Hapa nna usingizi ila sitaki kulala, kama mabungo yapo saa hizi niambie niyafate chaaap

Pilipili nnayo hapa......!πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…