Thank you Valentine Babes For the Ride 😍😍

Hongera sana bibi kipendhii. Kasie wa mahaba.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Next time zingatia Kilometer Kasie Mahaba

Unatupa tabu tunaomuonea wivu Jamaa anavofaidi

Sawa ntazingatia.

Wakati ujao Bataringaya hatawaangusha ...πŸ˜…

Sema hapendi watu wajue hivyo itakuwa kimya kimya tuu, ama laah nikijaleta mrejesho ntawajibu sijazingatia tumeenda kilometa ngapi....

Kumbe tumeenda hadi Nakuru na kurudi non stop trip πŸ˜…πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹.

Usimwambie mtu maneno haya wala RRONDO asione hapa.
 
Bibi kumbe babu ni RRONDO [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama ndie tulikumiss sana, ulikuwa wapi siku zote hizi, au babu zlikuficha
 
Ewaaaah huyo ndo babu wa bibi, twapokezana kula ugoro...πŸ˜€.
Bibi umejipata lkn mbona km babu kuna sehemu nilimuona anaimbisha mtu mistari 😜
 
Bibi umejipata lkn mbona km babu kuna sehemu nilimuona anaimbisha mtu mistari 😜

Asili yake muafrika, Msukuma orijinale mie mwenyewe mnyamwezi mizigo mizito ndo jadi yangu, tunajuana kwa vilemba.......😊.

Mwanaume wa kiafrika yeyote yule aliyekamilika idara zote za kiume hawezi tulia na mwanamke mmoja. Nafahamu na najua sana anaimbisha huku na kule, hilo si tatizo kikubwa muda wa kuvuta ugoro tunakuwa pamoja bambam, mengine hayanihusu miyee.

Akinipa raha zake inanitosha, wacha asambaze upendo kwa wengine pia.

Kasinde Matata πŸ˜‰.
 
Wacha weeee!! Bibi unajiamini km Iran πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huna presha watakunywa soda ila chupa lazima irudi kiwandani πŸ‘Œ
Bibi hapo nimekukubali full maconfidence 😜
 
Wacha weeee!! Bibi unajiamini km Iran πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huna presha watakunywa soda ila chupa lazima irudi kiwandani πŸ‘Œ
Bibi hapo nimekukubali full maconfidence 😜

Haswaaa, hakuna jipya chini ya jua.

Kikubwa amani, upendo, furaha na mahaba kedekede.

Kasinde Mahaba Matata.
 
Watu weuweeeeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahaha bibi πŸ˜†πŸ€£
 
Sema bibi unapenda mapenzi sijui kwann 🀣

Bibi anatambulika kama Kasinde Mahaba Matata...

Hiyo ndo sababu kuu.

Asili ya bibi ndiko mapenzi yalikozaliwa na kule inakorinwa asali.... unategemea nini sasa hapo zaidi ya kupenda utamu....πŸ™‚.
 
Bibi anatambulika kama Kasinde Mahaba Matata...

Hiyo ndo sababu kuu.

Asili ya bibi ndiko mapenzi yalikozaliwa na kule inakorinwa asali.... unategemea nini sasa hapo zaidi ya kupenda utamu....πŸ™‚.
😊😊 Sawa bibi tamtam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…