Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 408
mkuu kilaza ni wewe unayelala huku unamuota jk wakiti familia yako na wazazi waliokuzaa wanakutegemea wewe usiku na mchana unamuwaza jk tu.
mmesahau kazi yenu watu wa buku 7 kumshambulia Dr Slaa? Hana lolote huyo mr Dhaifu
Mkuu, yaani umeonesha udhaifu mkubwa saba katika kufikiri. Kwani JK alishindwa kwenye kura za maoni mwaka 2005? kama ndo hivyo, je alishindaje nafasi hiyo ndani ya chama?
Ni kusudi la Mungu kumweka kikwete madarakani ili udhaifu na maovu ya serikali yajulikane kupitia udhaifu wake.Pili,ni kusudi la Mungu kuwepo madarakani ili watu wajue wezi na mafisafi wa nchi hii kupitia uongozi wake dhaifu kupitia watendaji wake dhaifu.
Sijui kwanini nikikumbuka swala la Viongozi wa dini kumwagiwa Tindikali na kupigwa Risasi huwa inanijia sura ya Kikwete?
Mkuu, yaani umeonesha udhaifu mkubwa saba katika kufikiri. Kwani JK alishindwa kwenye kura za maoni mwaka 2005? kama ndo hivyo, je alishindaje nafasi hiyo ndani ya chama?
he Best of Kikwete:
Katika kipindi cha Kikwete masuala yafuatayo lazima tumpe Credit kwani baadhi yamefanywa na JK wa mwanzo tu na hayakufanywa na Mwinyi wala Mkapa.
1. Ujenzi wa Sekondari za Kata ni maamuzi sahihi ingawa yana changamoto zake zinazoweza kutatuliwa na watakaomfuatia, lakini hapa JK ametumia madaraka yake vizuri
2. Ameendelea na uendelezaji wa Miradi ya Barabara, suala lililoanza kujitokea wakati wa awamu ya 3, JK ameendelea nalo suala hilo kwa kasi kubwa na kwa kipindi chote
3. Daraja Kigamboni, Malagarasi na Kilombero ni miongoni mwa mambo yatakayokumbukwa forever
4. Ongezeko la Taasisi za Elimu ya Juu limefanyika vizuri sana katika awamu ya Kikwete, mbali na UDOM lakini taasisi na vyuo vingi vimeimarishwa, kupandishwa hadhi na vyuo vingi binafsi vimeanziswa. Kwa sasa Taifa haliko tena na dhana ya UDII, Mzumbe na SUA. Aidha ari na moyo wa watanzania kulipia huduma za elimu umeongezeka.
5. Kumekuwa na ongezeko kubwa la ajira ukilinganisha na awamu mbili zilizomtangulia. Mkapa aliendesha Serikali nyembamba, suala ambalo ni zuri lakini lina changamoto zake kwa wale waliokuwepo wameliona hata akapewa sifa ya mzee wa "ukapa"
6. Mradi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kwa lengo la kutatua kero ya Umeme ni hatua nzuri ambayo haijawahi kufanywa katika awamu ya 2 na ya Tatu (Vyanzo vya Nishati)
7. Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Chuma (Kule Liganga?) ambao maandalizi ya ujenzi wake yamekamilika ni hatua nzuri ili kuvutia au kuanzisha uwekezaji wa zana za Chuma pamoja na Viwanda vikubwa.
8. Hatua ya Kujenga Bandari mpya eneo la Bagamoyo yenye hadhi ya 4th Generation ni tukio litakalokumbukwa na vizazi Dahri vijavyo.
9. Hatua ya Utekelezaji wa mradi wa DRT ambao ulikuwepo miaka mingi pia ni miongoni mwa mazuri yaliyotendeka katika awamu ya JK
10. Zoezi la kutambua na kuwarudisha kwao wahamiaji haramu pia ni zoezi zuri ambalo bila shaka halijawahi kufanywa katika uongozi wa awamu nyinginezo kwa kiwango na utashi wa namna hiyo
11. Kitendo cha utekelezaji wa mradi wa vitambulisho vya Taifa ni credit kubwa kwa JK ambao hakuna sababu za wazi kwanini nchi imekaa miaka 50 pasipo na vitambulisho vya uraia kwa wakazi wake na raia wake
12. Ameendelea kuiweka Tanzania kwenye mahusiano mazuri kimataifa hususan SADC, UN na nyanja nyingine za Kitaifa. Ukiacha EAC ambayo sababu za kuzorota kwake ziko wazi, lakini maeneo mengine ame-play well ok
Unaandika lakini unajistukia...mnaabisha Chama ..kwa ujinga wenu huu....mtu mwenye aliki unatulia unapanga hoja si kila sa sla ..sla ..sla utoto na ujinga huu....mnaharibu chamaNitajie watu makini watatu wa chadema kama utawapata make slaa kashifa kibao,mbowe ndiyo,Lisu mmbea na mnafiki sijui utamtaja nani.
Kikwete amefanya maajabu kwa kutafuna mfupa uliomshinda fisi. Tunamshukuru na tutamkubuka sana.
........................
- Vitambulisho vya taifa......................
Unaona ndo nachosema...mnaotetea ccm...u dont concetrate and read....manaabisha ccm...hata kama ccm imeshidwa lakini sio kwa kiasi hicho mnachoonesha nyie kwenye mitandaoa...mbadilike.....maaabisha chamachadema ni chama cha walaghai na wazandiki wanatumia chama kwa manufaa yao na familia zao.
...the problem continue...hamkai mkasoma mkafikiri mkajinbu hoja.....mimi nasema hata kam ccm imefulia lakini si kwa kiasi hicho..kushidwa kujibi HOJA ndogo ndogo zinazoanzishwa kenye mitandoa na kushidwa kuanzisha hoja zina maishiko.....mbadilike...ze marcopolo, simiyu, ritz, chambruma, bungeni, chama kipya, srtoke, na wengine mkae mtafakari...mnaaibisha na kuharibu taswira ya CHAMA kwenye mitandao...kwa udhaifu wenu wa kijinga wa kupangua hoja na kutoa hoja nzuri....kila siku slaa, sla , sla badilikeniningekuona wa maana kama ungemkanya huyo mburula mwenzako ambaye anaanzisha mada ambayo haina mwelekeo
Hakika tutamkumbuka kwa mengi...Hakika Jk tutakukumbuka kwa mengi
Sio siri Raisi Jakaya Kikwete ambae anatarajia kumaliza kipindi chake cha uongozi wa nchi yetu mwaka 2015 ana kila sababu ya kukumbukwa kwa yafuatayo:
.ujenzi wa daraja la kigamboni
.ujenzi wa chuo kikuu dodoma
.ujenzi wa barabara zenye kiwango cha lami
.ukuaji wa demokrasia nchini
.ujenzi wa Bomba la Gesi toka Mtwara hadi Dar
Bravo Jk mungu akubariki