Thanks God for Giving us Kikwete

Thanks God for Giving us Kikwete

mkuu kilaza ni wewe unayelala huku unamuota jk wakiti familia yako na wazazi waliokuzaa wanakutegemea wewe usiku na mchana unamuwaza jk tu.

mmesahau kazi yenu watu wa buku 7 kumshambulia Dr Slaa? Hana lolote huyo mr Dhaifu
 
Kikwete amefanya maajabu kwa kutafuna mfupa uliomshinda fisi. Tunamshukuru na tutamkubuka sana.
- Daraja la kigamboni
- Katiba mpya
- Vitambulisho vya taifa
Barabara: mwaka 1961 zilikuwa kilomita 1,300
- baada ya miaka 50 kilomita zilifikia takribani 6,000
- hivi sasa kilomita zimeshafikia 11,000
- mwaka 2015 inakadiliwa kufikia 18,000
- bilioni 450 za barabara ukilinganisha na bilioni 56 miaka 5 iliyopita
Elimu: mwaka 1961 chuo kikuu kimoja
- hivi sasa tuna vyuo vikuu zaidi ya 44 tunaongoza wa idadi katika EAC
- miaka 10 iliyopita tulizidiwa idadi ya vyuo vikuu na Kenya na Uganda
- kabla ya utawala wa Kikwete alikuta idadi ya wanafunzi wa vyuo vikuu 40,000
- hivi sasa idadi ya wanafunzi ni 160,000 hii ni mara 4 zaidi
Nishati ya umeme:
- Kutoka mega wait 7 za Pangani falls wakati wa uhuru hadi mega wait 561 awamu ya
tatu.
- hivi sasa kuna uzalishaji wa mega wait 1500 za uhakika ndiyo maana hakuna mgao wa umeme.
- 2015 baada ya bomba la gesi kukamilika inakadiriwa kufikia uzalishaji mega wait 3000 na zaidi.
Mahusiano ya kimataifa:
Tanzania pamoja na uchumi wake kuwa mdogo lakini imewezekana kukubalika na mataifa makubwa duniani kama vile USA,CHINA, JAPAN kuwa ni:
- eneo linalokuwa na lenye fursa ya kukua kiuchumi barani Afrika
- eneo linalotarajiwa kuwa ni kitovu cha biashara barani Afrika
- eneo lenye demokrasia ya kiwango kizuri, siasa safi na uongozi bora.
- eneo lenye utulivu na amani na taswira nzuri kwenye macho ya kimataifa
- viongozi wake wenye kukubalika kuwa ni viongozi wa kupigiwa mfano barani Afrika.
- hivyo kuonekana ni miongoni mwa nchi kiongozi barani Afrika.
Mafanikio sekta ya Afya:
Mafanikio ya nchi yanapimwa kimataifa na hivi sasa kigezo kikubwa cha kupima maendeleo ya nchi ni malengo ya millennia.
Tanzania ni mojawapo ya nchi duniani ambayo ilitekeleza huduma za afya ya msingi kwa mafanikio makubwa sana baada ya uhuru, hii ni kauli ya Rais wa baraza kuu la 65 la UN mwaka 2011 Bw. Joseph Deiss alisema Tanzania ni nchi ya kupigiwa mfano barani Afrika.
Miongoni mwa mafanikio kwenye sekta ya afya ni:
- huduma za afya zimesogezwa karibu wananchi.
- utoaji wa chanjo za kuzuia magonjwa mbalimbali bure na chanjo kuhusu mama na mtoto.
- Kupunguza vifo vya watoto chini ya miaka 5.
- Huduma ya kinga ya maambukizi ya ukimwi toka kwa mama mjamzito kwenda kwa mtoto.
- Kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi.
Amefanya mengi sana haitoshi kuandika makala inafaa hata kitabu kitungwe kwa mema yake.

Source: Kwa hisani ya DUCHI
 
[h=2]kwa mtindo huu mbowe lazima aondoke kwenye uenyekiti wa chama waje wengine nao tuone .[/h]
Kwa wale wote wadau wa siasa na wafuatiliaji wa mambo ya siasa wanafahamu kuwa mbowe amekuwa mwenyekiti wa chadema tangu 2003 hadi sasa.

kwa mantiki hiyo anastahili pongezi kwa kukifikisha chama hapo kilipofika kwani ni hatua amabayo mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi kuibeza hata kidogo.

kwa mujibu wa katiba ya chadema mbowe anamaliza mda wake wa uongozi mwaka huu mwezi disemba ambapo tunategemea apatikane mwenyekiti mwingine wa kuendeleza mazuri yaliyofanywa na mbowe na kuacha mapungufu yaliyokuwepo wakati wa uongozi wa mbowe.

kwa maoni yangu ni vema mbowe akastafu kwa heshima pasipo kukatalia madarakani kama wanavyofanya baadhi ya wanasiasa hasa wa kiafrika.

Mazuri yaliyofanyika wakati wa uongozi wa mbowe ni pamoja na kuongeza wabunge,kuongeza,wanachama,kuk ua na kuenea kwa chama nk.

Lakini pia chini ya uongozi wa mbowe kumekuwepo na mapungufu mengi ambayo kwa kweli mbowe hatumhitaji tena kuendelea kuwa mwenyekiti wa chadema haya ni baadhi tu ya mapungufu.

1.mbowe amepitisha kujilipa mshahara takribani tsh 1722000 kwa mwezi,
2.mbowe amekubali dr slaa alipwe mshahara wa tsh12570000 kwa mwezi,
3.mbowe ameruhusu heche alipwe mshahara wa tsh takribani 9000000 kwa mwezi,
malipo haya siyapingi kama kungekuwa na usawa na uwazi kwenye ulipaji wa hizi pesa lakini cha ajabu mpaka hela za ruzuku za chama zinatumika kulipa watumishi kitu ambacho ni kinyume na sheria hata hivyo kumekuwa na tofauti kubwa sana ya malipo baina ya mtumishi mmoja na mwingine,

Lakini kitu cha kushangaza zaidi tumeambiwa kuwa mkutano wa jangwani uliojumuisha vyama vitatu chadema ndiyo iliyogharimia uendeshaji wa mkutano huo kwa maana ya kulipa posho za viongozi,kukodi magari ya kupeleka na kurudisha watu,kulipa magari ya matangazo,vikundi mbalimbali ambapo gharama zake tumeambiwa ni kama milioni700,000,000 kitu ambacho hakiingii akilini hata chembe.

Sote tunakumbuka wakati wa mabaraza ya katiba mbowe aliruka na helkopita mara kumi kwenda kuongea na wanachama sehemu mbalimbali,wakati slaa aliruka mara saba gharama zote zilifika 680,000,000 mln kitu ambacho ni hatali sana kwa kuwa na matumizi ya namna hii kwenye chama ambacho tunaamini kinapigania haki za wanyonge.

Hapo ndipo ninapopingana na mbowe kwa kuwa na matumizi makubwa kwenye chama tena yanayolenga baadhi ya watu halafu hawataki yahojiwe kweli tunajenga chama kwa namna hii au tunanufaisha baadhi ya watu?,kwa mpango huu naona dalili kwa mbali inakuja upo uwezekano wa baraza la wazee kukubali kubadili vifungu vya katiba vya chadema ili mbowe aendelee kuwa mwenyekiti kitu ambacho wengi wapenda mabadiliko hatukipendi.
USHAURI;
MDA WAKO UKIISHA MBOWE ONDOKA NA HESHIMA YAKO USIKATALIE MADARAKANI​
 
quote_icon.png
By CHAMVIGA
Kafanya makubwa sana katika kipindi cha miaka nane pekee ya uongozi wake.
1. Barabara alizofanikiwa kutengeneza ni zaidi ya maraisi wote watatu waliotangulia.
2. Shule nyingi za secondary amejenga na kiwango cha udahiri wa wanafunzi wanaongia sekondari na mavyuoni ni idadi kubwa sana kila mwaka.
3. Zahanati karibu kila kijiji inapatikana kwa sasa Tanzania nzima. 4. Uhuru wa vyombo vya habari uliopitiliza katoa mpaka wengine wanavuka mipaka.
5. Katiba mpya karuhusu watanzania tutengeneze na sasa tupo mwishoni kuikamilisha.
6. Tatizo la maji nalo pia amelisimamia kwa kiwango cha kuridhisha n.k utaongeza na mengine.
Swali kwa watanzania na hasa wanajamii forum tulitegemea nini na tumekosa nini kutoka kwa mh raisi mpaka wengine kumkosea heshima na kumdharau?

Raisi wetu aliingia kwa kauli mbiu yake ya Nguvu mpya, kasi mpya na Ari mpya nadhani watanzania walikuwa na matarajio kuona shida zao zote zinamalizwa na jk kwa maneno hayo aliyotamka huku wakiwa wamekaa tu. Tusiwe kama kuku akila akishafuta mdomo anasahau kama kala. 'Nikiondoka mtanikumbuka' Jm Kikwete.
 
Mkuu, yaani umeonesha udhaifu mkubwa saba katika kufikiri. Kwani JK alishindwa kwenye kura za maoni mwaka 2005? kama ndo hivyo, je alishindaje nafasi hiyo ndani ya chama?

Unajifanya hujui aliishinda vip husan kpind cha pil?
Au wewe nmhamiaji?
 
Ni kusudi la Mungu kumweka kikwete madarakani ili udhaifu na maovu ya serikali yajulikane kupitia udhaifu wake.Pili,ni kusudi la Mungu kuwepo madarakani ili watu wajue wezi na mafisafi wa nchi hii kupitia uongozi wake dhaifu kupitia watendaji wake dhaifu.

Sijui kwanini nikikumbuka swala la Viongozi wa dini kumwagiwa Tindikali na kupigwa Risasi huwa inanijia sura ya Kikwete?
 
Mkuu, yaani umeonesha udhaifu mkubwa saba katika kufikiri. Kwani JK alishindwa kwenye kura za maoni mwaka 2005? kama ndo hivyo, je alishindaje nafasi hiyo ndani ya chama?

Unajifanya hujui aliishinda vip husan kpind cha pil?
Au wewe nmhamiaji?
 
Kikwete ni CHAGUO LA MUNGU ....................CHADEMA NI MPANGO WA MUNGU.............
 
Nimuonavyo Kikwete nakumbuka story ya Samweli na Saul. Mungu hakupenda Wanaisrael wawe na Mfalme lakini wao waka mlazimisha Samweli kuwa wanataka Mfalme. Basi wakaonywa na wakapewa Mfalme SAUL Now therefore, heed their voice. However, you shall solemnly forewarn them, and show them the behavior of the king who will reign over them."
a. You shall solemnly forewarn them: The sense in this verse is that Israel will not change their mind, and this isn't Samuel's goal. His goal is to simply forewarn them. If this was the course Israel would choose, God wanted them to make an informed choice. So, the Lord tells Samuel to show them the behavior of the king who will reign over them.

b. Of course, information creates responsibility. In telling Israel this, Samuel was not only helping them to make an informed choice; he was increasing their accountability for making the right choice. They couldn't say, "We didn't know."

B. Samuel speaks to the people of Israel about their desire for a king.

1. (10-18) Samuel warns the nation of the responsibilities of having a king.

So Samuel told all the words of the Lord to the people who asked him for a king. And he said, " This will be the behavior of the king who will reign over you: He will take your sons and appoint them for his own chariots and to be his horsemen, and some will run before his chariots. He will appoint captains over his thousands and captains over his fifties, will set some to plow his ground and reap his harvest, and some to make his weapons of war and equipment for his chariots. He will take your daughters to be perfumers, cooks, and bakers. And he will take the best of your fields, your vineyards, and your olive groves, and give them to his servants. He will take a tenth of your grain and your vintage, and give it to his officers and servants. And he will take your male servants, your female servants, your finest young men, and your donkeys, and put them to his work. He will take a tenth of your sheep. And you will be his servants. And you will cry out in that day because of your king whom you have chosen for yourselves, and the Lord will not hear you in that day."
 
he Best of Kikwete:
Katika kipindi cha Kikwete masuala yafuatayo lazima tumpe Credit kwani baadhi yamefanywa na JK wa mwanzo tu na hayakufanywa na Mwinyi wala Mkapa.

1. Ujenzi wa Sekondari za Kata ni maamuzi sahihi ingawa yana changamoto zake zinazoweza kutatuliwa na watakaomfuatia, lakini hapa JK ametumia madaraka yake vizuri

2. Ameendelea na uendelezaji wa Miradi ya Barabara, suala lililoanza kujitokea wakati wa awamu ya 3, JK ameendelea nalo suala hilo kwa kasi kubwa na kwa kipindi chote

3. Daraja Kigamboni, Malagarasi na Kilombero ni miongoni mwa mambo yatakayokumbukwa forever

4. Ongezeko la Taasisi za Elimu ya Juu limefanyika vizuri sana katika awamu ya Kikwete, mbali na UDOM lakini taasisi na vyuo vingi vimeimarishwa, kupandishwa hadhi na vyuo vingi binafsi vimeanziswa. Kwa sasa Taifa haliko tena na dhana ya UDII, Mzumbe na SUA. Aidha ari na moyo wa watanzania kulipia huduma za elimu umeongezeka.

5. Kumekuwa na ongezeko kubwa la ajira ukilinganisha na awamu mbili zilizomtangulia. Mkapa aliendesha Serikali nyembamba, suala ambalo ni zuri lakini lina changamoto zake kwa wale waliokuwepo wameliona hata akapewa sifa ya mzee wa "ukapa"

6. Mradi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara kwa lengo la kutatua kero ya Umeme ni hatua nzuri ambayo haijawahi kufanywa katika awamu ya 2 na ya Tatu (Vyanzo vya Nishati)

7. Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Chuma (Kule Liganga?) ambao maandalizi ya ujenzi wake yamekamilika ni hatua nzuri ili kuvutia au kuanzisha uwekezaji wa zana za Chuma pamoja na Viwanda vikubwa.

8. Hatua ya Kujenga Bandari mpya eneo la Bagamoyo yenye hadhi ya 4th Generation ni tukio litakalokumbukwa na vizazi Dahri vijavyo.

9. Hatua ya Utekelezaji wa mradi wa DRT ambao ulikuwepo miaka mingi pia ni miongoni mwa mazuri yaliyotendeka katika awamu ya JK

10. Zoezi la kutambua na kuwarudisha kwao wahamiaji haramu pia ni zoezi zuri ambalo bila shaka halijawahi kufanywa katika uongozi wa awamu nyinginezo kwa kiwango na utashi wa namna hiyo

11. Kitendo cha utekelezaji wa mradi wa vitambulisho vya Taifa ni credit kubwa kwa JK ambao hakuna sababu za wazi kwanini nchi imekaa miaka 50 pasipo na vitambulisho vya uraia kwa wakazi wake na raia wake

12. Ameendelea kuiweka Tanzania kwenye mahusiano mazuri kimataifa hususan SADC, UN na nyanja nyingine za Kitaifa. Ukiacha EAC ambayo sababu za kuzorota kwake ziko wazi, lakini maeneo mengine ame-play well ok

1. ujenzi wa sekondari za kata ni mpango wa mkapa na sumaye siyo JK.
2. Barabara kajitahidi japo ameendeleza.
3.Daraja la kigamboni na malagarasi tunampa hongera.
4. Elumu ya juu siyo JK bali na mwamko wa watanzania wenyewe baada ya kujua serikali imewatelekeza. wangapi wanapata mkopo wa seriklia.
5.Ajira ziko wapi?
6. mradi wa bomba la gas tuwahsukuru wawekezaji siyo jitihada za JK.
7. Mradi kiwanda cha chuma mchakato ulianza muda mrefu siyo sasa.
8. Bandari ya bagamoyo ni mhimu kwa uchumi reli je? kuna ubinafsi pia kupeleka miundo mbinu kwao. kwaani master plan ya nchi bandari ya bagamoyo ilikuwapo? tuna bandari Tanga, Dar na Mtwara. zinafanya nini> je zitafungwa?
9.DRT bado itakuwa tatizo bila kuwa na fly over road, kenye wana fly over kwenye taa. sisi hata moja hakuna.
10.
 
ni ndani ya utawala wa jk nimeshuhudia usd ikifika 1600
 
Nitajie watu makini watatu wa chadema kama utawapata make slaa kashifa kibao,mbowe ndiyo,Lisu mmbea na mnafiki sijui utamtaja nani.
Unaandika lakini unajistukia...mnaabisha Chama ..kwa ujinga wenu huu....mtu mwenye aliki unatulia unapanga hoja si kila sa sla ..sla ..sla utoto na ujinga huu....mnaharibu chama
 
Kikwete amefanya maajabu kwa kutafuna mfupa uliomshinda fisi. Tunamshukuru na tutamkubuka sana.
........................
- Vitambulisho vya taifa......................

Msioujua mradi wa Vitambulisho vya Taifa ni bora mkae hivyo hivyo msiufaham maana unaweza ukamwaga machozi. Ila kwa ufupi tu ni kwamba mradi mpaka utakapokwisha utatumia Bil355 hii tenda kamechukua ka kampuni ka kishkaji tu ka Malaysia ambako hakajajipanga ukifananisha na Govt Printers. Government Printers nasikia waliomba hii tenda kwani technologia inayotumika ni ya kawaida sana, ilikuwa wawezeshwe kidogo tu ile kazi wangeifanya kwa Bil93 achilia mbali kwamba serikali ingeokoa mabilioni ya shiringi ila wangetoa ajira kwa zaidi ya watu 63 wa kudumu na vibarua zaidi ya 1000.

Hivi umewahi kujiuliza ni kwanini Waziri mkuu aliagiza Serikali iwe inanunua Samani zake zilizo zalishwa hapa nchi ambazo ni imara na bei nafuu lakini bado wabishi wanang'ang'ania zile za china? Tafakari na uchukue hatua

 
chadema ni chama cha walaghai na wazandiki wanatumia chama kwa manufaa yao na familia zao.
Unaona ndo nachosema...mnaotetea ccm...u dont concetrate and read....manaabisha ccm...hata kama ccm imeshidwa lakini sio kwa kiasi hicho mnachoonesha nyie kwenye mitandaoa...mbadilike.....maaabisha chama
 
ningekuona wa maana kama ungemkanya huyo mburula mwenzako ambaye anaanzisha mada ambayo haina mwelekeo
...the problem continue...hamkai mkasoma mkafikiri mkajinbu hoja.....mimi nasema hata kam ccm imefulia lakini si kwa kiasi hicho..kushidwa kujibi HOJA ndogo ndogo zinazoanzishwa kenye mitandoa na kushidwa kuanzisha hoja zina maishiko.....mbadilike...ze marcopolo, simiyu, ritz, chambruma, bungeni, chama kipya, srtoke, na wengine mkae mtafakari...mnaaibisha na kuharibu taswira ya CHAMA kwenye mitandao...kwa udhaifu wenu wa kijinga wa kupangua hoja na kutoa hoja nzuri....kila siku slaa, sla , sla badilikeni
 
Hakika Jk tutakukumbuka kwa mengi
Sio siri Raisi Jakaya Kikwete ambae anatarajia kumaliza kipindi chake cha uongozi wa nchi yetu mwaka 2015 ana kila sababu ya kukumbukwa kwa yafuatayo:
.ujenzi wa daraja la kigamboni
.ujenzi wa chuo kikuu dodoma
.ujenzi wa barabara zenye kiwango cha lami
.ukuaji wa demokrasia nchini
.ujenzi wa Bomba la Gesi toka Mtwara hadi Dar
Bravo Jk mungu akubariki
Hakika tutamkumbuka kwa mengi...
.Tanzania kujulikana kama kituo kikuu cha wauza unga dunia, bila uongozi wake nani angetujua,
.Tembo kwisha kwa kipindi chake,
.Tumeanza kuona teknolojia mpya ya madaktari feki waking'oa meno bila ganzi
.Haijawahi kutokea wanafunzi kufeli zaidi ya 70%, LOL hongera JK i will never forget,
.Nchi kuuzwa kwa wachina kunusuru mtoto wa prezida asinyongwe, Only in Tanzania,
.Haijawahi kutokea nchi ikabadili migodi ya dhahabu kwa kontena la kondom na Net za mbu, Duh!
....nknk.
 
Back
Top Bottom