Thanks God..Thanks to all JF friends !!

Hongera sa FL, mungu awazidishie upendo na amani katika ndoa yenu. Muwe mfano mzuri wa kuigwa.
 
Mwenyezi Mungu akujalie baraka tele, uendelee kufarahia ndoa yako kwa miaka mingi zaid na zaid.......


Hongera FL
 
Mwenyezi Mungu awataunglie na kuwazidishia maisha marefu katika ndoa...
 

Hongera sana dada.....

Mungu awajalie muishi maisha marefu na mzidi kuwa na furaha katika ndoa na familia yenu.........

Salamu kwa shemeji na familia.....

Bala.
 
Hongera sana mpendwa.

mungu akubariki zaidi na zaidi.
 
cONGRATS FL1 NA FAMILIA

whatever you do, remember to put God first, his plans are generic, and it is up to us to build on the principles he taught and relayed through his messengers

nawatakia mfike miaka kumi ya ndoa kama mie kaka yenu ili reflection ya maisha iwe backed up with lots of lessons learnt
 
Hongera sana, Mungu aendelee kuilinda familia yako na kujaliwa mafanikio zaidi.
 
Hongera sana FL1 Mungu aibariki ndoa yako

Hongera sa FL, mungu awazidishie upendo na amani katika ndoa yenu. Muwe mfano mzuri wa kuigwa.

mmmh! Isijekuwa yako na ya firstlady ndio tamu tu.

Mwenyezi Mungu akujalie baraka tele, uendelee kufarahia ndoa yako kwa miaka mingi zaid na zaid.......


Hongera FL

Naona GPS yangu haisomi hapa, hebu nipe uelekeo wa hiyo Malaika hotel nije tule sato!.

Mwenyezi Mungu awataunglie na kuwazidishia maisha marefu katika ndoa...

Hongera sana dada.....

Mungu awajalie muishi maisha marefu na mzidi kuwa na furaha katika ndoa na familia yenu.........

Salamu kwa shemeji na familia.....

Bala.

Kizuri mwambie na mwenzio aonje; wanaosema chungu mbona wameng'ang'ana hawatoki?

Hongera sana mpendwa.

mungu akubariki zaidi na zaidi.

mama wa kwanza hongera sana,nawatakia kila lililo jema

Hongera sana mamake..


Hongera sana, Mungu aendelee kuilinda familia yako na kujaliwa mafanikio zaidi.


nawashukuruni sana wote kwa mapenzi yenu juu yangu
Kama mniambeavyo baraka kwa mwenyezi mungu ..nami nawaombea kwa mwenyezi mungu akutane na hitaji la kila mmoja wenu
Pia awalinde ,awatunze hata tuweze kusherehekea anniversary yangu ya miaka 50
I love you guys
God bless
 
pole sana AK sijapenda kukukwaza katikamsiku hii muhimu kwangu kulikoni

aa ndugu yangu.................. Yaani ka wivu tu kananisumbua................. japo mi si mchungaji, lakini leo natoa baraka!1........... ubarikiwe sana rafiki na nakutakia kila lililo la heri maishani mwako na mr. president!!...................... ila mwambie AK kashauri apunguze matrip, vinginevyo siku shetani akikatiza mitaa ile, itakula kwake!!............... teh teh....................
 

hahahahahahah .....AK asante sana sana kwa baraka zako ..wivu wa nini wivu wa ni.. mimi na wangu na wewe una wako te te te ..huu ushauri wako kwa Rais ni muhimu sana kwangu naufanyia kazi kwa kina
God bless
 
Hongera sana mpenzi Mungu akupe haja ya moyo na akuongezee imani na busara ya kuitunza familia yako na kumheshimu mume wako.DAMU YA YESU ifunike familia yako.Usisahau kutoa fungu la kumi ni muhimu for ur spiritual life.
 
Hongera sana Mungu akuongoze na ndoa yako iwe ni ndoa yenye furaha na amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…