kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Ajifunze kwa TB JoshuaNdugu yangu "mazingaumbwe" hayawezi kamwe kuliathiri kanisa la Mungu aliye hai.
Anachofanya huyu mtu ni 'viini macho' ambavyo ni mambo ya muda anapokosekana Mungu wa kweli.
Fuatilia historia ya watu kama hawa popote duniani na ndio maana imeandikwa "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Mungu amesema tusiabudu sanamu, kanisa lenu limejaza masanamu na mnayaabudu.Ndugu yangu "mazingaumbwe" hayawezi kamwe kuliathiri kanisa la Mungu aliye hai.
Anachofanya huyu mtu ni 'viini macho' ambavyo ni mambo ya muda anapokosekana Mungu wa kweli.
Fuatilia historia ya watu kama hawa popote duniani na ndio maana imeandikwa "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Alikuwepo tb joshua ambae ulimwengu karibu wote ulikimbilia nigeria kwa nabii,kiko wapi sasa,so ata hyu ni mambo yale yale tu, watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.Ndugu yangu "mazingaumbwe" hayawezi kamwe kuliathiri kanisa la Mungu aliye hai.
Anachofanya huyu mtu ni 'viini macho' ambavyo ni mambo ya muda anapokosekana Mungu wa kweli.
Fuatilia historia ya watu kama hawa popote duniani na ndio maana imeandikwa "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Kumbukeni hiyo ni dini ya wazungu hivyo mnabebwa kwa kutumia pampas kama alivyomwambia ask Gwajima kwa pengo. Pengo hawezi kusimisha hata muumini mmoja kwa convincing power yake bali alichokikuta na kukiendeleza tuMtu aliyekodishwa kwa muda kiwanja cha kuswaga ng'ombe hapo Kawe ndio umlinganishe na Kanisa Katoliki Tanzania?
Mwamposa hafikii hata jimbo moja Katoliki. Na akifa wanaobaki watagombea mali biashara inaishia hapo. Sasa individual anapambanaje na taasisi ambayo hadi serikali ilibidi itaifishe assets zake kuipunguzia nguvu kitaifa.
Mwamposa hawezi anzisha na kuendesha benki, chuo kikuu, orphanage kubwa kama Msimbazi, hospitali ya rufaa kama Bugando au hata ya wilaya. Kanisa lenyewe moja waumini wanakaa kwenye viti vya plastiki kambi popote.
Jiheshimu
Hiyo akili ya mende ndiyo imekufanya uchanganye Ukatoliki na huyo TAPELI wa Biblia??Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
Mbuyu ulianza kama mchicha ila mchicha (Mwamposa) hauwezi kuwa mbuyu (Katoliki).Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Kumbukeni hiyo ni dini ya wazungu hivyo mnabebwa kwa kutumia pampas kama alivyomwambia ask Gwajima kwa pengo. Pengo hawezi kusimisha hata muumini mmoja kwa convincing power yake bali alichokikuta na kukiendeleza tu
Kwa hiyo kadinali rugambwa ni zaidi ya pengoMbuyu ulianza kama mchicha ila mchicha (Mwamposa) hauwezi kuwa mbuyu (Katoliki).
Pengo sio kanisa, Pengo ni Kardinali katika kanisa. Anaweza tangulia leo au kesho na kazi ikaendelea bila kutetereka. Walikuwepo maarufu zaidi yake kina Kardinali Rugambwa.
Hii hatari sana 🤣🤣🤣🤣🤣, akome na akomaeMtu aliyekodishwa kwa muda kiwanja cha kuswaga ng'ombe hapo Kawe ndio umlinganishe na Kanisa Katoliki Tanzania?
Mwamposa hafikii hata jimbo moja Katoliki. Na akifa wanaobaki watagombea mali biashara inaishia hapo. Sasa individual anapambanaje na taasisi ambayo hadi serikali ilibidi itaifishe assets zake kuipunguzia nguvu kitaifa.
Mwamposa hawezi anzisha na kuendesha benki, chuo kikuu, orphanage kubwa kama Msimbazi, hospitali ya rufaa kama Bugando au hata ya wilaya. Kanisa lenyewe moja waumini wanakaa kwenye viti vya plastiki kambi popote.
Jiheshimu
ni wasomi kabisa, wana akili kuliko wewe, wana pesa kuliko wewe, majority wana pesa, ila ni wale waliokuwa wamezoea shortcuts za biashara na kila kitu hawataki kufuata Neno la MUngu, walizoea shortcuts za uchawi na uganga, unafanya kitu kinatokea, miujiza miujiza, hawataki kufuata Neno la Mungu ila kupata vitu. hao ndio wamejaa. usijefikiri hawana akili, wana akili ila hawana Mungu na hawamtaki Mungu, wanataka vitu.Huwezi kukuta mwanaume au mwanamke mwenye akili timamu kaenda kule wale waliopo kule wapime akili zao utagundua jambo mazombi
Endeleeni kukusanya sadaka ziende kwa papaNdugu yangu "mazingaumbwe" hayawezi kamwe kuliathiri kanisa la Mungu aliye hai.
Anachofanya huyu mtu ni 'viini macho' ambavyo ni mambo ya muda anapokosekana Mungu wa kweli.
Fuatilia historia ya watu kama hawa popote duniani na ndio maana imeandikwa "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
We huoni mahospitali, shuld, makanisa ya kifahari nk? Unafikiri vinajengwa na nini. Unafikiri kwa nini mwamposa hajengi kanisa bali mahoteli tu huko mbeya na zanziba. Mfanyabiashara yuleEndeleeni kukusanya sadaka ziende kwa papa
Mazombi hawana akilini wasomi kabisa, wana akili kuliko wewe, wana pesa kuliko wewe, majority wana pesa, ila ni wale waliokuwa wamezoea shortcuts za biashara na kila kitu hawataki kufuata Neno la MUngu, walizoea shortcuts za uchawi na uganga, unafanya kitu kinatokea, miujiza miujiza, hawataki kufuata Neno la Mungu ila kupata vitu. hao ndio wamejaa. usijefikiri hawana akili, wana akili ila hawana Mungu na hawamtaki Mungu, wanataka vitu.
Mpigaji mwizi tapeli mpaka waje kushtuka bank kuu ikitoa majina ndio wataelewa kua walikua wanapigwaWe huoni mahospitali, shuld, makanisa ya kifahari nk? Unafikiri vinajengwa na nini. Unafikiri kwa nini mwamposa hajengi kanisa bali mahoteli tu huko mbeya na zanziba. Mfanyabiashara yule