Thanks Mwamposa for bridging this catholic monopolism

Catholic Church uses sophisticated way of begging, smooth exploitation, look at small Christian communities, they contribute a lot to the church. Mwamposa is open, when you pray deeply you see the result.
 
Martin Luther King Ndiyo Pekee Aliweza Na Kuna Mambo Baadhi Lutheran Na Catholic Wanakubaliana Wazi Wazi Sababu Kuu AliongeA Truth
Na Catholic Wanakubaliana
 
There is no monopoly in religion.

The catholic church was there first, catholicism was christianity at some point.

Protestants and miracle preachers are just rebels, you might say...

The catholic church is still on top, with the most followers and general inflluence.
 
Ndugu yangu "mazingaumbwe" hayawezi kamwe kuliathiri kanisa la Mungu aliye hai.
Anachofanya huyu mtu ni 'viini macho' ambavyo ni mambo ya muda anapokosekana Mungu wa kweli.
Fuatilia historia ya watu kama hawa popote duniani na ndio maana imeandikwa "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Ajifunze kwa TB Joshua
 
Mungu amesema tusiabudu sanamu, kanisa lenu limejaza masanamu na mnayaabudu.
Kama kanisa lenu ni la Mungu, kwanini linakaidi amri za Mungu? Je Mungu ana double standards?
 
Ndugu yangu "mazingaumbwe" hayawezi kamwe kuliathiri kanisa la Mungu aliye hai.
Anachofanya huyu mtu ni 'viini macho' ambavyo ni mambo ya muda anapokosekana Mungu wa kweli.
Fuatilia historia ya watu kama hawa popote duniani na ndio maana imeandikwa "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Alikuwepo tb joshua ambae ulimwengu karibu wote ulikimbilia nigeria kwa nabii,kiko wapi sasa,so ata hyu ni mambo yale yale tu, watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Mtu aliyekodishwa kwa muda kiwanja cha kuswaga ng'ombe hapo Kawe ndio umlinganishe na Kanisa Katoliki Tanzania?

Mwamposa hafikii hata jimbo moja Katoliki. Na akifa wanaobaki watagombea mali biashara inaishia hapo. Sasa individual anapambanaje na taasisi ambayo hadi serikali ilibidi itaifishe assets zake kuipunguzia nguvu kitaifa.

Mwamposa hawezi anzisha na kuendesha benki, chuo kikuu, orphanage kubwa kama Msimbazi, hospitali ya rufaa kama Bugando au hata ya wilaya. Kanisa lenyewe moja waumini wanakaa kwenye viti vya plastiki kambi popote.

Jiheshimu
Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Kumbukeni hiyo ni dini ya wazungu hivyo mnabebwa kwa kutumia pampas kama alivyomwambia ask Gwajima kwa pengo. Pengo hawezi kusimisha hata muumini mmoja kwa convincing power yake bali alichokikuta na kukiendeleza tu
 
Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
Hiyo akili ya mende ndiyo imekufanya uchanganye Ukatoliki na huyo TAPELI wa Biblia??
 
Hata mbuyu ulianza kama mchicha. Kumbukeni hiyo ni dini ya wazungu hivyo mnabebwa kwa kutumia pampas kama alivyomwambia ask Gwajima kwa pengo. Pengo hawezi kusimisha hata muumini mmoja kwa convincing power yake bali alichokikuta na kukiendeleza tu
Mbuyu ulianza kama mchicha ila mchicha (Mwamposa) hauwezi kuwa mbuyu (Katoliki).

Pengo sio kanisa, Pengo ni Kardinali katika kanisa. Anaweza tangulia leo au kesho na kazi ikaendelea bila kutetereka. Walikuwepo maarufu zaidi yake kina Kardinali Rugambwa.
 
Kwa hiyo kadinali rugambwa ni zaidi ya pengo
 
Mtu aliyekodishwa kwa muda kiwanja cha kuswaga ng'ombe hapo Kawe ndio umlinganishe na Kanisa Katoliki Tanzania?

Mwamposa hafikii hata jimbo moja Katoliki. Na akifa wanaobaki watagombea mali biashara inaishia hapo. Sasa individual anapambanaje na taasisi ambayo hadi serikali ilibidi itaifishe assets zake kuipunguzia nguvu kitaifa.

Mwamposa hawezi anzisha na kuendesha benki, chuo kikuu, orphanage kubwa kama Msimbazi, hospitali ya rufaa kama Bugando au hata ya wilaya. Kanisa lenyewe moja waumini wanakaa kwenye viti vya plastiki kambi popote.

Jiheshimu
Hii hatari sana 🤣🤣🤣🤣🤣, akome na akomae
 
Huwezi kukuta mwanaume au mwanamke mwenye akili timamu kaenda kule wale waliopo kule wapime akili zao utagundua jambo mazombi
ni wasomi kabisa, wana akili kuliko wewe, wana pesa kuliko wewe, majority wana pesa, ila ni wale waliokuwa wamezoea shortcuts za biashara na kila kitu hawataki kufuata Neno la MUngu, walizoea shortcuts za uchawi na uganga, unafanya kitu kinatokea, miujiza miujiza, hawataki kufuata Neno la Mungu ila kupata vitu. hao ndio wamejaa. usijefikiri hawana akili, wana akili ila hawana Mungu na hawamtaki Mungu, wanataka vitu.
 
Ndugu yangu "mazingaumbwe" hayawezi kamwe kuliathiri kanisa la Mungu aliye hai.
Anachofanya huyu mtu ni 'viini macho' ambavyo ni mambo ya muda anapokosekana Mungu wa kweli.
Fuatilia historia ya watu kama hawa popote duniani na ndio maana imeandikwa "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Endeleeni kukusanya sadaka ziende kwa papa
 
We huoni mahospitali, shuld, makanisa ya kifahari nk? Unafikiri vinajengwa na nini. Unafikiri kwa nini mwamposa hajengi kanisa bali mahoteli tu huko mbeya na zanziba. Mfanyabiashara yule
 
Huu uzi utunzwe baada ya miaka miwili ye mwenyewe atakuja kutofautisha kati ya RC and mwamposa
 
ni wasomi kabisa, wana akili kuliko wewe, wana pesa kuliko wewe, majority wana pesa, ila ni wale waliokuwa wamezoea shortcuts za biashara na kila kitu hawataki kufuata Neno la MUngu, walizoea shortcuts za uchawi na uganga, unafanya kitu kinatokea, miujiza miujiza, hawataki kufuata Neno la Mungu ila kupata vitu. hao ndio wamejaa. usijefikiri hawana akili, wana akili ila hawana Mungu na hawamtaki Mungu, wanataka vitu.
Mazombi hawana akili
 
We huoni mahospitali, shuld, makanisa ya kifahari nk? Unafikiri vinajengwa na nini. Unafikiri kwa nini mwamposa hajengi kanisa bali mahoteli tu huko mbeya na zanziba. Mfanyabiashara yule
Mpigaji mwizi tapeli mpaka waje kushtuka bank kuu ikitoa majina ndio wataelewa kua walikua wanapigwa
 
Back
Top Bottom