Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 37,957
- 26,414
Watu wanapenda kuona mauza uza na kusikia uongo...Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
Manzangaombwe hana hana kitu yule tapeli nioe mke halafu nimuone anaenda kwa yule mwehu atanielewaWatu wanapenda kuona mauza uza na kusikia uongo...
Kondoo wameongezeka...coz there is high supply of services.
TB Joshua alianza hivyohivyo,mwisho wake wote tuliuonaNdugu yangu "mazingaumbwe" hayawezi kamwe kuliathiri kanisa la Mungu aliye hai.
Anachofanya huyu mtu ni 'viini macho' ambavyo ni mambo ya muda anapokosekana Mungu wa kweli.
Fuatilia historia ya watu kama hawa popote duniani na ndio maana imeandikwa "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
Though I am a moslem but am closer to roman catholic,then the mwaposa type of churches,based on pure lies,drama and personal.idolizationCatholicism is ideology,
Catholic is an institution,
Catholic is church,
Catholic has succession plan
Catholic is about nurturing and raising responsible generation.
You will never find any of those with Mwamposa's single-man-ship services
Much as I'm not happy with everything happening in Catholic church, I however, can't equate it with Mwamposa.
Tulivyo wakatoliki, tunakusikikiza, ukimaliza tunakuacha na mitusi yako, tunakwenda parokiani kusali halafu tunarudi home, then kwenye kitimoto na bia.For us catholics we worship idols, that's the reason why logical reasoning pple abandone catholics to pentecostal churches or Islam.
Na sisi waislamu marafiki zetu wakubwa ni wakatoliki,ama wanaoa dada zetu nasi tunaoa kwao,dini isiyo na makeke,makelele,vituko,mazingaombwe na alina ha za ajabuTulivyo wakatoliki, tunakusikikiza, ukimaliza tunakuacha na mitusi yako, tunakwenda parokiani kusali halafu tunarudi home, then kwenye kitimoto na bia.
A true Muslim can't be close to idol worshippers bcz its the greatest abmnimal sin in Islam.......Though I am a moslem but am closer to roman catholic,then the mwaposa type of churches,based on pure lies,drama and personal.idolization
I know but islam does teach not to befriend worshippers of idolsA true Muslim can't be close to idol worshippers bcz its the greatest abmnimal sin in Islam.......
Kabla haujaingia kiroho ingia kimaisha . Nabii hana kanisa ila kajenga hoteli kubwa mkambatone ili taifa liwe na cheap labour. Hajajenga zahanati au chekechea. Unaanza kulinganisha kanisa la mitume na hili la kusali kwenye magofu. Aisee inashangaza sana yaani kujenga kanisa sio kipaumbele kipaumbele ni hoteli kwa ajili ya kumuingiza nabii hela,🤣🤣🤣🤣Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
Nipo huku Bavaria sikukuu zote za kanisa katoliki hakuna kufanya kazi and by the way it's the richest region of GermanyAre you serious? 😂 Mwamposa ni kanisa? Linapatikana hata hapo Botswana? Unalinganisha huduma ya mtu mmoja ambaye siku akifa huduma imekwisha na Kanisa lenye waumini zaidi ya Bilioni 2.5 worldwide! Hii ni comedy 😀 Catholic ni mfumo wa maisha na mwenendo mzima wa Christianity, sio huduma za miujiza!
Kwani lengo la kanisa ni kunenga hospitali au kunenga rohoni? Mbona mnachukua majukumu ya serikaliKabla haijaingia kiroho ingiza kimaisha . Nabii hana kanisa ila kujenga hoteli kubwa mkambatone ili taifa liwe na cheap labour. Hajajenga zahanati au chekechea. Unaanza kulinganisha kanisa la mitume na hili la kusali kwenye magofu. Aisee inashangaza sana yaani kujenga kanisa sio kipaumbele kipaumbele ni hoteli kwa ajili ya kumuingiza nabii hela,🤣🤣🤣🤣
So if you know that why do you be close to idol worshippers, in Islam idol worshippers are najisi. ....unclean ppleI know but islam does teach not to befriend worshippers of idols
na hizo hela mnaKabla haijaingia kiroho ingiza kimaisha . Nabii hana kanisa ila kujenga hoteli kubwa mkambatone ili taifa liwe na cheap labour. Hajajenga zahanati au chekechea. Unaanza kulinganisha kanisa la mitume na hili la kusali kwenye magofu. Aisee inashangaza sana yaani kujenga kanisa sio kipaumbele kipaumbele ni hoteli kwa ajili ya kumuingiza nabii hela,🤣🤣🤣🤣
Na hizo hela anazojengea hotel wanampa hao waumini wakeKabla haijaingia kiroho ingiza kimaisha . Nabii hana kanisa ila kujenga hoteli kubwa mkambatone ili taifa liwe na cheap labour. Hajajenga zahanati au chekechea. Unaanza kulinganisha kanisa la mitume na hili la kusali kwenye magofu. Aisee inashangaza sana yaani kujenga kanisa sio kipaumbele kipaumbele ni hoteli kwa ajili ya kumuingiza nabii hela,🤣🤣🤣🤣
islam does teach to hate neigbours,the idiol worshippers are my neigbours,I will love them and that is my religion tech me but i will not follow their waysSo if you know that why do you be close to idol worshippers, in Islam idol worshippers are najisi. ....unclean pple
Ndugu yangu matendo ndio kithibitisho cha imani. Kanisa katoliki lina hela lakini mpaka kesho mapadre wanatembelea 1hz. Kanisa katoliki lina zahanati, shule na vyuo. Katika hizi taasisi unaweza ukahudumiwa bure kama haujiwezi. Ukiwa mkatoliki na ufaulu mzuri kuna scholarships za kusoma Marekani, Ireland na Ujerumani. Sasa unaenda kusali kwa Mwamposa hakuna zahanati wala hospitali hakuna chuo wala shule. Na bado halipi kodi.Kwani lengo la kanisa ni kunenga hospitali au kunenga rohoni? Mbona mnachukua majukumu ya serikali
Hili ni jukumu la serikali. Kanisa jukumu lake ni kusali tuNdugu yangu matendo ndio kithibitisho cha imani. Kanisa katoliki lina hela lakini mpaka kesho mapadre wanatembelea 1hz. Kanisa katoliki lina zahanati, shule na vyuo. Katika hizi taasisi unaweza ukahudumiwa bure kama haujiwezi. Ukiwa mkatoliki na ufaulu mzuri kuna scholarships za kusoma Marekani, Ireland na Ujerumani.
Na hizo shule tumesoma hata sisi waislamu bila ubaguzi wowoteNdugu yangu matendo ndio kithibitisho cha imani. Kanisa katoliki lina hela lakini mpaka kesho mapadre wanatembelea 1hz. Kanisa katoliki lina zahanati, shule na vyuo. Katika hizi taasisi unaweza ukahudumiwa bure kama haujiwezi. Ukiwa mkatoliki na ufaulu mzuri kuna scholarships za kusoma Marekani, Ireland na Ujerumani.
Neighbours have special place in Islam, treat them with respect dont cheat them, but don't follow their evil religion, there is abig difference between a friend en a neighbour so avoid to mix the two.islam does teach to hate neigbours,the idiol worshippers are my neigbours,I will love them and that is my religion tech me but i will not follow their ways