Thanks Mwamposa for bridging this catholic monopolism

Thanks Mwamposa for bridging this catholic monopolism

Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
Watu wanapenda kuona mauza uza na kusikia uongo...
 
Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.

RC is a legal individual and it's there to stay. The guy you're talking about is a mere (natural) individual, and that reason can end to exist at any point in time.
 
Watu wanapenda kuona mauza uza na kusikia uongo...
Manzangaombwe hana hana kitu yule tapeli nioe mke halafu nimuone anaenda kwa yule mwehu atanielewa

Mbaya zaidi jamaa katoboa mbaka huko bush ndani ndani huko Sibuka inapenya mpaka huko na jamaa kajishikiza Sibuka nilifika nikakuta vimama vimejifungia ndani eti vinamsikiliza vinaomba kwa makelele nilitamani nikavipige mikwaju pumbavu
 
Ndugu yangu "mazingaumbwe" hayawezi kamwe kuliathiri kanisa la Mungu aliye hai.
Anachofanya huyu mtu ni 'viini macho' ambavyo ni mambo ya muda anapokosekana Mungu wa kweli.
Fuatilia historia ya watu kama hawa popote duniani na ndio maana imeandikwa "watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa"
TB Joshua alianza hivyohivyo,mwisho wake wote tuliuona
 
Catholicism is ideology,
Catholic is an institution,
Catholic is church,
Catholic has succession plan
Catholic is about nurturing and raising responsible generation.

You will never find any of those with Mwamposa's single-man-ship services

Much as I'm not happy with everything happening in Catholic church, I however, can't equate it with Mwamposa.
Though I am a moslem but am closer to roman catholic,then the mwaposa type of churches,based on pure lies,drama and personal.idolization
 
For us catholics we worship idols, that's the reason why logical reasoning pple abandone catholics to pentecostal churches or Islam.
Tulivyo wakatoliki, tunakusikikiza, ukimaliza tunakuacha na mitusi yako, tunakwenda parokiani kusali halafu tunarudi home, then kwenye kitimoto na bia.
 
Tulivyo wakatoliki, tunakusikikiza, ukimaliza tunakuacha na mitusi yako, tunakwenda parokiani kusali halafu tunarudi home, then kwenye kitimoto na bia.
Na sisi waislamu marafiki zetu wakubwa ni wakatoliki,ama wanaoa dada zetu nasi tunaoa kwao,dini isiyo na makeke,makelele,vituko,mazingaombwe na alina ha za ajabu
 
Though I am a moslem but am closer to roman catholic,then the mwaposa type of churches,based on pure lies,drama and personal.idolization
A true Muslim can't be close to idol worshippers bcz its the greatest abmnimal sin in Islam.......
 
Formally the catholic church was the over all in all aspects pertaining to Godly issues.
Now consumers have wider choice coz there is high supply of services.
Kabla haujaingia kiroho ingia kimaisha . Nabii hana kanisa ila kajenga hoteli kubwa mkambatone ili taifa liwe na cheap labour. Hajajenga zahanati au chekechea. Unaanza kulinganisha kanisa la mitume na hili la kusali kwenye magofu. Aisee inashangaza sana yaani kujenga kanisa sio kipaumbele kipaumbele ni hoteli kwa ajili ya kumuingiza nabii hela,🤣🤣🤣🤣
 
Are you serious? 😂 Mwamposa ni kanisa? Linapatikana hata hapo Botswana? Unalinganisha huduma ya mtu mmoja ambaye siku akifa huduma imekwisha na Kanisa lenye waumini zaidi ya Bilioni 2.5 worldwide! Hii ni comedy 😀 Catholic ni mfumo wa maisha na mwenendo mzima wa Christianity, sio huduma za miujiza!
Nipo huku Bavaria sikukuu zote za kanisa katoliki hakuna kufanya kazi and by the way it's the richest region of Germany
 
Kabla haijaingia kiroho ingiza kimaisha . Nabii hana kanisa ila kujenga hoteli kubwa mkambatone ili taifa liwe na cheap labour. Hajajenga zahanati au chekechea. Unaanza kulinganisha kanisa la mitume na hili la kusali kwenye magofu. Aisee inashangaza sana yaani kujenga kanisa sio kipaumbele kipaumbele ni hoteli kwa ajili ya kumuingiza nabii hela,🤣🤣🤣🤣
Kwani lengo la kanisa ni kunenga hospitali au kunenga rohoni? Mbona mnachukua majukumu ya serikali
 
na hizo hela mna

Na hizo hela anazojengea hotel wanampa hao waumini wake
 
So if you know that why do you be close to idol worshippers, in Islam idol worshippers are najisi. ....unclean pple
islam does teach to hate neigbours,the idiol worshippers are my neigbours,I will love them and that is my religion tech me but i will not follow their ways
 
Kwani lengo la kanisa ni kunenga hospitali au kunenga rohoni? Mbona mnachukua majukumu ya serikali
Ndugu yangu matendo ndio kithibitisho cha imani. Kanisa katoliki lina hela lakini mpaka kesho mapadre wanatembelea 1hz. Kanisa katoliki lina zahanati, shule na vyuo. Katika hizi taasisi unaweza ukahudumiwa bure kama haujiwezi. Ukiwa mkatoliki na ufaulu mzuri kuna scholarships za kusoma Marekani, Ireland na Ujerumani. Sasa unaenda kusali kwa Mwamposa hakuna zahanati wala hospitali hakuna chuo wala shule. Na bado halipi kodi.
 
Ndugu yangu matendo ndio kithibitisho cha imani. Kanisa katoliki lina hela lakini mpaka kesho mapadre wanatembelea 1hz. Kanisa katoliki lina zahanati, shule na vyuo. Katika hizi taasisi unaweza ukahudumiwa bure kama haujiwezi. Ukiwa mkatoliki na ufaulu mzuri kuna scholarships za kusoma Marekani, Ireland na Ujerumani.
Hili ni jukumu la serikali. Kanisa jukumu lake ni kusali tu
 
Ndugu yangu matendo ndio kithibitisho cha imani. Kanisa katoliki lina hela lakini mpaka kesho mapadre wanatembelea 1hz. Kanisa katoliki lina zahanati, shule na vyuo. Katika hizi taasisi unaweza ukahudumiwa bure kama haujiwezi. Ukiwa mkatoliki na ufaulu mzuri kuna scholarships za kusoma Marekani, Ireland na Ujerumani.
Na hizo shule tumesoma hata sisi waislamu bila ubaguzi wowote
 
islam does teach to hate neigbours,the idiol worshippers are my neigbours,I will love them and that is my religion tech me but i will not follow their ways
Neighbours have special place in Islam, treat them with respect dont cheat them, but don't follow their evil religion, there is abig difference between a friend en a neighbour so avoid to mix the two.
 
Back
Top Bottom