Miaka ya nyuma kutongoza was an art, na ilikua lazima uimudu hiyo sanaa uweze kupata ama kula watoto wazuri. Ilikua ni lazima uwe mtu wa maneno na vitendo.
Miaka ya nyuma ukiwa domo zege wanawake utaishia kuwaona sokoni, madomo zege wengi waliishia kwenye punyeto maana hawakua na namna nyingine.