Thanx God....17 yrs...Still getting stronger

Mhh babu mbona hata kwenye thread yako ya shati lako na my fife wako nilikwambia unanibania hujamwaga mabaraka humu? wewe mtu muhimu bwana
Huyo Fife mbona simjui na wala simtabui? LOL........ unajua umri huu ushaenda, haya mafumbo ya karne hizi sisi hayakuwa kwenye silabasi zetu..... afu vitu muhimu kama hivi si unaingia hewani straight.

Bado sijakusamehe ujue.
 
Hommie naomba mwongozo wako hapa chini....dah

Bia nyingi sana muda wote glass imejaa bia utakumbukaje sasa

ina maana mi sinywi kabisa hommie? LOL au Gaga ananirusha roho tu
 
Huyo Fife mbona simjui na wala simtabui? LOL........ unajua umri huu ushaenda, haya mafumbo ya karne hizi sisi hayakuwa kwenye silabasi zetu..... afu vitu muhimu kama hivi si unaingia hewani straight.

Bado sijakusamehe ujue.
Mhh babu leo umevaa miwani yako eeee, haya najua unataka nini hii hapa "im sorry babu yangu" wako mjukuu mtiifu gaga
 
Hommie naomba mwongozo wako hapa chini....dah

ina maana mi sinywi kabisa hommie? LOL au Gaga ananirusha roho tu
Hamna yaaani unapanda mti na kukata papo kwa papo
 
Hommie naomba mwongozo wako hapa chini....dah

ina maana mi sinywi kabisa hommie? LOL au Gaga ananirusha roho tu
Mwongozo toka kwa homemoy wako: Tukutane JJ saa kumi jioni kuujadili huu mswada.

Mhh babu leo umevaa miwani yako eeee, haya najua unataka nini hii hapa "im sorry babu yangu" wako mjukuu mtiifu gaga
And what took you so long? Forgiven.....and you know I mean it, don't you Gaga?
 
Mwongozo toka kwa homemoy wako: Tukutane JJ saa kumi jioni kuujadili huu mswada.

And what took you so long? Forgiven.....and you know I mean it, don't you Gaga?
Babu kumbe na wewe ni mmoja wa wale wanajf wa jj basi nakujua......nashukuru umenisamehe babu yangu, sorry nimechelewa kutambua kosa langu
 
Kaizer.........

Kuna point ya kui-file hapa chini........ hebu do the needful na logistics zote ukizingatia itifaki

mmh...hapo patakuletea matatizo mpendwa.....ndo kina nani hao? LOL
 
Kaizer.........

Kuna point ya kui-file hapa chini........ hebu do the needful na logistics zote ukizingatia itifaki

hommie nimeona aisee....filed for future use.....
 
wewe sasa ndio kakwambia mkutane jj
Gaga unataka kuwa kama mbunge wa CCM? Kutakuwa na sitting allowance.........utaruhusiwa kuupunguza usingizi incase of anything.... sawa eh?
 
na mimi sasa ndo nikakwambia kwa ajili ya utekelezaji....
Yes....... hapo upo kikazi rasmi. Ngoja nicheki na Sofapaka akufikirie kwenye ile nafasi iliyo wazi.
 
Gaga unataka kuwa kama mbunge wa CCM? Kutakuwa na sitting allowance.........utaruhusiwa kuupunguza usingizi incase of anything.... sawa eh?
CCM???????? hapana utanisamehe
 
Back
Top Bottom