BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Komando kipensi alikiwasha sana akiwa kwenye ubora wake pale Clouds
Bad luck ni kama kila kitu kimegeuka kwa sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asee wana darisalama mtuambie ni nani huyo huko mjini wengine hatumujui
Jamaa alichora mpaka tatoo!
Maisha ni uchaguzi wako mwenyeweView attachment 3206412
Komando kipensi alikiwasha sana akiwa kwenye ubora wake pale Clouds
View attachment 3206416
Bad luck ni kama kila kitu kimegeuka kwa sasa
Ni umaskini na kipimo cha tabu nyingi. Mkuu kama unapanda daladala usijipe moyo, uko kwenye tabu.Kwa hio kupanda dala dala ndio umasikini au kipimo cha tabu?
Are u stupid or just making jokes for clicks???
Nahisi ulikuwa ushamba wa wanawake.....Huyo fala alikuwa mshamba wa mapenzi, tulimuambia hakusikia
Bongo hata ukipanda daladala kwa sababu ni mwanamazingira tu unaepuka kutumia gari lako kuongeza carbon emissions, unaonekana umelosti. 😂😂😂Dah dadeki kumbe kupanda daladala ni badluck........ila samtaim ukipata la kubambia daladala inanoga
Beira Baby Boy a.k.a London Boy mimi huyo mtu simjui asee sijawahi fika huko daslama.Jamiiforum ya siku hizi ni ya kijinga jinga yaan mpaka nafika hapa sielewi hata huyo jamaa ni nan
Chaliifrancisco njoo utoe majibu hapa ni nani huyu jamaa