BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
- Thread starter
- #21
Sipondi kupanda daladala huyo alikuwa ni icon pale Clouds Tv kwenye upande vipindi vya burudani alifanya kazi nzuri sana ghafla Clouds wakasitisha mkataba wake na alishawahi kudai wakati anapitia changomoto za ugonjwa ofisi yake walikataa kugharamia matibabu yake.Wewe kwenye maisha yako una nini? Mpaka uone mtu kupanda dala dala ni kuishiwa
Hii ni prove kwamba maboss wengi wapo attached na uwezo wako pekee siku ukiwa down wanakutupa so ni angalizo kwa vijana kujitengenezea uwezo wako binafsi Incase hata wenye power wakikuacha unakuwa comfortable na sio kuanguka.