That's life kwa yoyote aliyechangia anguko la huyu mwamba ubaya utamrudia tu

That's life kwa yoyote aliyechangia anguko la huyu mwamba ubaya utamrudia tu

Wewe kwenye maisha yako una nini? Mpaka uone mtu kupanda dala dala ni kuishiwa
Sipondi kupanda daladala huyo alikuwa ni icon pale Clouds Tv kwenye upande vipindi vya burudani alifanya kazi nzuri sana ghafla Clouds wakasitisha mkataba wake na alishawahi kudai wakati anapitia changomoto za ugonjwa ofisi yake walikataa kugharamia matibabu yake.

Hii ni prove kwamba maboss wengi wapo attached na uwezo wako pekee siku ukiwa down wanakutupa so ni angalizo kwa vijana kujitengenezea uwezo wako binafsi Incase hata wenye power wakikuacha unakuwa comfortable na sio kuanguka.
 
Bongo hata ukipanda daladala kwa sababu ni mwanamazingira tu unaepuka kutumia gari lako kuongeza carbon emissions, unaonekana umelosti. 😂😂😂
Hakuna ufahari wowote kwenye daladala
 
HUYO MWAMBA NI CASTO DICJSON KAMA SIKOSEI ALIKUA CLOUDS TV NA NDIO FOUNDER WA KIPINDI CHA SIZ KITAA NA UONGOZI ULIVYOPIGA RETRENCHMENT WAKAMLAMBA NA YEYE BAADHI WALIRUDI KULAMBA KOBAZI ZA JOSEPH KUSAGA WAKAREJESHWA AKIWEMO MBWIGA WA MBWIGUKE. ILA HUYO JAMAA HAJAWAHI TUMIA NGADA ILA FEGI HAPO NI MWANZO MWISHO KIGOMA MWSHO WA RELI NA VIKALI ILA NAAAMINI SASA YUKO KWENYE REBUILDING ATAKUA SAWA KUPANDA DALADALA BONGO NI KITU CHA KAWAIDA KWA WAZAWA ILA WAKUJA DOMO UTALIMWAGA TU
 
 
Hapa Casto Dickson Mwananchi wa kawaida, kule ni Antonio Nugaz Mtembezi...maisha yako kasi sana. Watu wengi tunapitia hizo ups and downs sema tu sio celebrities ndo maana sio rahisi kila mtu kujua ila watu wetu wa karibu, familia, ndugu jamaa na marafiki na mitaani wanajua vizuri tu. Anyways, unachokiona leo kwenye maisha yako ulikiandaa juzi na jana. Kila unachokifanya leo basi tegemea matokeo yake kesho na keshokutwa. Hakuna kitu kinatokea kwenye maisha ya mwanadamu bila yeye kuhusika, inaweza kua kwa bahati mbaya ama kupitia mahusiano yetu kwenye jamii tunazoishi nazo. Mungu ni mwema tusichoke kupambana
 
Back
Top Bottom