Thawabu niliyoipata kwa kuepuka kuzini na wanafunzi

Duh! dunia ina mabalaa hii

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Kwahiyo hujawahi kula tunda kimasihara?
 
Kwahiyo hujawahi kula tunda kimasihara?
Nikila 'tunda' iwe kimasihara au isiwe kimasihara nje ya tunda halali nakuhakikishia nitakachopoteza ni kikubwa kuliko nitakachokipata. Ni upumbavu kudeal na 'cha muda mfupi' kisha unapoteza 'cha milele'.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Umesrma wametumwa una uhakika? Nan kawatuma
Swali zuri. Wapo waliokuwa wanatumwa na utawala wa shule kama sehemu yao ya kunidodosa. Wapo waliokuwa wanatumwa na watesi wangu. Source ni watumwaji wenyewe walikuwa wananifungukia baadae agenda hizo za siri.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Zinaa haitangazwi teacher.. sisi wakubwa tumekuelewa sana hapo
 
Uongo huooo
 
Kumbe mateacher wengine ni maboya kabisa. Mtoto wa kidato cha pili amekaa vibaya unasema unakutega?
Kumbe ukikuta kitoto kinakojoa njiani unahisi mitego, acha kujidanganya, watoto wadogo hawaijui aibu, anakaa anavyotaka
 
Kumbe mateacher wengine ni maboya kabisa. Mtoto wa kidato cha pili amekaa vibaya unasema unakutega?
Kumbe ukikuta kitoto kinakojoa njiani unahisi mitego, acha kujidanganya, watoto wadogo hawaijui aibu, anakaa anavyotaka
Soma tena hapo kwenye maelezo ya kisa cha huyo binti wa kidato cha pili.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Si kwa ubaya ila moja kati ya kozi ambazo niliomba zinipitie pembeni hii ya Ualimu ni moja wapo. Mi hata sikupitia mikasa ki hivyo, nakumbuka baada ya kumaliza kidato cha Sita, baadhi ya wazazi waliwaleta watoto wao niwasaidie kuutoa ujinga kichwani mwao.


Sijui ni bahati au mkosi, mmoja wa walimu wangu wa shule ya Msingi aliniomba nikafumfundishe binti yake kwake, si kwamba ilikuwa mbali sana lakini ilihitaji gharama ya 800/- kwenda na kurudi. Aliniahidi kunilipa hela ya nauli tofauti na hela ya gharama ya Tuition. Sikufikiria mara mbili nilikataa katu.


Basi baada ya muda akaamua kumleta yule mwanae, alikuwa mdogo tu binti ana asili ya Uarabu ukiongeza na Uislamu wake basi nilikuwa naambulia kuona uso wake tu. Being a teenager seeking for a love to cease my lust nilikuwa namlia kichwani tu. Dogo alikuwa mvivu in such a way kwamba kuna siku ananiambi 'broh! kwa leo tusisome nataka kupumzika'. Tulivyoanza kusoma alikuwa anachagua vitu vya kusoma, nika 'calculate' mzee wake ana pesa uwenda labda dogo hana lengo la kuumiza brain yake.


Ilikuwa kama unampa swali afanye (kwa maana nilikuwa nafundishia shule moja ya Msingi) alikuwa anataka achukue chaki niliyoishika mimi mkononi tena analegeza mkono nakuusugua mkono wangu kwa vidole vyake.


Nikaona isiwe shida nikamuunga na mdogo wangi wakike aliyekuwa kidato cha tatu kipindi hicho wakawa wanapiga kitabu kwa pamoja. Nilikujaga tu kusikia stori kwa mama yake akisema 'brother Duarte mgumu mno. Yaani ananuna 24/7'. Nilivyosikia nikasema inawezekana hata mama yake ana "support" tabia za mwanae.


Nilikuwa nina ndoto kubwa nifanye mambo yangu, nilijua kama ningejikwaa pale ningepoteza vitu vyangu vingi tena vya msingi.
Toka hapo nikasema mimi na Ualimu hata sitaki kusikia, kama muda mchache wa Tuition nilipatwa na vioja vya madogo wa umri wa chini ambao kipindi mi naanza kusimama wao wapo ndani ya viuno vya wazazi wao. Inakuwaje huko katik shule ya bweni ya wasichana tupu?, Madogo wanapandishwa genye kiasi cha kujitia uchizi.


It 's not too late
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…