Thawabu niliyoipata kwa kuepuka kuzini na wanafunzi

Asante kwa kushare nasi experience na maoni yako.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Basi mimi licha ya presha ya familia,marafiki,jamii kunishawishi nije nisome kozi nyingine like Engineering,MD lakini hakuna aliyefanikiwa kunichepusha kwenye 'hii kitu kutoka moyoni' yaani Ualimu. Ualimu wa kusomea kishingo upande unazua majanga mengi sana mbeleni.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Hongera Sana "Teacher "kwa kuruka viunzi.Kazi hii inahitaji Uadilifu Sana ,wewe ni Mlezi wa Kiroho na hata kimwili.

Ikumbuke pia wewe Ni Binadamu,Kuna mida unapata Ashiq,kwa hiyo taswira za namna hiyo zikikutokea endelea kuwa busy au kufanya Activities nyingine tofauti tofauti.
Huyo Mwanafunzi Cha kufanya ungembadilisha position akae angle ambayo hataweza ku expose upuuzi wake.
Pia epuka kusema asiyelewa anifate ofisini.(I think waambie "we will revise tomorrow until everyone understands"
Nilitaka nifahamu Kama shule hiyo ni Bweni na mchanganyiko,au waschana tupu.
Hata hivyo Hongera nakutakia mafanikio mema
Na some will conclude by saying this seems to be fictius story ,but carries a great lesson behind it
 
Asante sana kwa kuniongezea maarifa. Actually,nimefundisha shule tofauti tofauti na zote ni private. Hiyo ilikuwa ni Day&Mchanganyiko. Siku aliyoapishwa Samia ndio nikapata ujasiri zaidi wa kufuta kabisa wazo la kuajiriwa a.k.a kuchoma vyeti(hahahahaaaaa),
napambana niwe na shule zangu sasa,maana, huko kuna mapungufu mengi nimejifunza(hasa ya kiutawala) ambapo nikiangalia kwa jicho la tatu,mapungufu hayo ni fursa kubwa sana kwangu. Kubwa mno!.

Safari iendelee...

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Hongera ila wangekutana na Rikiboy angekuwa yeye ni kufyatua tu, maana yeye anasemega ameokota embe dodo kwenye mchanga
 
Sio sawa kutafuna watoto wa wenzio..karma is real broo..hongera sana kwa kulitambua hilo
 
Sio sawa kutafuna watoto wa wenzio..karma is real broo..hongera sana kwa kulitambua hilo
Asante,upo sahihi kabisa,yaani wazazi wanavyohangaika mara mikopo,mara kuvumilia mitusi ya mabosi wao huko makazini wakiwapambania watoto wao halafu,kipumbavu tu,mtu anaharibu nafsi za watoto kwa kuendekeza ashki.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Safi ticha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…