Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Renewable energy project mwanakijiji anayopendekeza ni nzuri but ni ghali sana Technolojia hiyo. Nchi zilizoendelea ndio wanaweza kuifanyia kazi na sio kwa nchi kama yetu inayojaribu kujikwamua kiuchumi. Sisi tuwekeze katika Project ya Hydro Electric, Umeme wa makaa ya mawe na Songo songo kuhakikisha umeme wa uhakika unapatikana. Tukiwa tumekuwa kiuchumi ndio Tufikirie Nuclear Project.
Nakubaliana na wewe kabisa kuwa waste to energy conversion is costly ukilinganisha na vyanzo vingine lakini ukipima sana utaona ina faida nyingine ambayo vyanzo vingine havina - inaondoa uchafu na kuangamiza badala ya kujaza landfills. Na teknolojia ya leo ipo inayowezesha hata kufanyika bila kuwa na matokeo mabaya zaidi katika pollution compared na uchafu ambao tayari upo. Binafsi suala la kugeuza uchafu into energy si kwa ajili ya umeme tu bali pia kudestroy uchafu na kusababisha utaratibu wa kutupa uchafu vizuri zaidi badala ya kuuzagaa.
Pamoja na hayo, tukipanga vizuri na kutumia uwezo wetu tuliojaliwa na Mungu kufikiria tunaweza kufanya hili liwezekane.