The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

Kenya kuna vyama vya msimu! Wagombea wanatakiwa keleza jinsi watakavyoepukana na vyama vya msimu.
 
Kuna Msomali hapo nae ni Candidate! kwanini wanaruhusu Msomali kugombea? huyo si ni mkimbizi toka Somalia? uraia wa kununua utaleta balaa! kesho utasikia Rage nae anataka Urais!

we jamaa una matatizo gani? Wenzako wakenya wanawauliza presidential candidates wao namna ya kuondokana na ukabila na wee bado unang'ang'ana nalo tu

unataka kuniambia wamarekani wangemzuia baraka obama kugombea kwa sababu ni 'mkenya mwafrika' kwa asili

my friend ukabila wako haukusaidii kitu, it wont feed or clothe you! Stand out and fight it using whatever resources you have

kwa ufupi ukabila ni dhana ya ubinafsi na ubaguzi ambayo mkishabaguana kikabila, haitaishia hapo, bali mtabaguana kiukoo ndani ya kabila, halafu kifamilia halafu individually. Ni dhambo mbaya sana kama sawa na kula nyama ya mtu. This old man nyerere was damn right!

Acha hiyo maneno mkuu
 
Guys be serious, kenyan somalis are part and parcel of kenya.
 
Vilanza kama akina Ritz huwezi waona kwenye unyenye huku!
 
Dah! Huyo Uamsho look-alike naona alisahauliwa hadi na mimi nikasahau kama yupo stejini:becky:
Dida mimi sijawahi hata kuona kampeni zake, na mara ya kwanza kimwona ni vile alipeleka makaratasi yake kwenye tume ya uchaguzi, nahisi yeye ni fungu la kusahaulika.

Hicho chama chake ni cha zamani?
 
Kenneth kaoa na hataki mpango wa kando na kwa taarifa Yako mke wake ni aina ya Lucy Kibaki...heheeee!

hivi ukipopotea ulienda kufanya phd ya uchawi naijeria ama ghana? Hebu toka hapa, napindua serikali ya ndani!
 
Parties are supposed to have an ideology - Martha.

Binti Wassira mmoja alisema eti ideology si muhimu...lol
 

Hahaha na kweli Tarime ni jirani tu na nairobea. Akikosa cha Tarime anakamatia kitu cha Somalia.
So far unaona nani amejipambanua vizuri kati ya farasi wawili?
 
Martha on democracy and the leadership, and strengthening the ofisi ya msajili wa vyama vya siasa. Nice one again madame.
 

Nimekusikia Mkuu! ukabila si kiti kizuri! jee, na udini nao unasemaje? Kila idara ya Serikali, mashirika ya umma, Wizara, wakuu wa Mikoa na ofisi zao, Makatibu wakuu wote na Mashuleni, kila kona ni dini moja tu imehodhi kila kitu!

sasa huu udini tutauondoaje? Kama Nyerere aliondoa Ukabila na sisi tuna mikakati gani ya ya kuondoa udini TZ?
 
Swali zuri kwa wagombea juu ya uanzishwaji wa vyama vya 'msimu' wakati wa uchaguzi kuwabeba wagombea kwa maana nyingine Kenya hakuna vyama madhubuti kama vyama vya siasa Tanzania CHADEMA, CCM, NCCR-MAGEUZI , CUF n.k ambavyo siyo vya msimu.

In Kenyan politics the driving force is tribalism and not ideology and that is why it is easy for a person to leave a party and start a new party and be relevant because they can expect support based on party lines. Meaning if a leading Kikuyu leaves a party and forms another one all the Kikuyus will switch and support that party. In Tanzania you can not be say a Msukuma and leave the party and expect your tribe or your region will switch to your new party. In Kenya political parties are just tools of few ambitious politicians. In Tanzania there is actually a STIGMA on politicians who switch parties too often.
 
Ati kwa nini siwezi kuchagua Karua kama rais? Hata gari bila reverse gear siwezi endesha, sitaki kusikia kesho kenya inajihami kivita kupigana na Russia.

hahahaha, kenya ipambane na russia. Hapo hata jk wetu atawashinda akili, lololo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…