Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Msomali hapo nae ni Candidate! kwanini wanaruhusu Msomali kugombea? huyo si ni mkimbizi toka Somalia? uraia wa kununua utaleta balaa! kesho utasikia Rage nae anataka Urais!
Uhuru is not fit to be president!
Hapo umenena mkuu....Uhuru ni mweupe sana upstairs ila anategemea nguvu za Kabila lake tu... Kwa Mdahalo wa Leo Thanks to P.K.Matiba, Martha Karua and Raila Amollo.
Definitely.....The guy seems to be fair and smart...You mean the moderator?:becky:
Dida mimi sijawahi hata kuona kampeni zake, na mara ya kwanza kimwona ni vile alipeleka makaratasi yake kwenye tume ya uchaguzi, nahisi yeye ni fungu la kusahaulika.Dah! Huyo Uamsho look-alike naona alisahauliwa hadi na mimi nikasahau kama yupo stejini:becky:
Definitely.....The guy seems to be fair and smart...
MODS mngeipeleka SIASA hii mpaka debate ikishaisha ili wale wahuni wa CHADEMA na CCM waone jinsi watu wanavyo engage kwenye mijadala yenye akili
Kenneth kaoa na hataki mpango wa kando na kwa taarifa Yako mke wake ni aina ya Lucy Kibaki...heheeee!
Mkuu pole. Subiri gesi ya Mtwara ikifika miaka mitano ijayo mambo yatakuwa sawa.
Martha amempiga msumari Kenyatta kuhusu kesi yake ya Hague na pia amemsahihisha Odinga ambaye ameongopa kwamba kura ilipigwa bungeni kuamua kama mahakama ya kuwashitaki watuhumiwe iwe Kenya ama ICC. Martha amesema kura haikupigwa. Raila kanywea.
Kenyatta linajibu maswali kwa ufasaha na kujiamini. Nadhani amepata ile kitu ya Tarime.
we jamaa una matatizo gani? Wenzako wakenya wanawauliza presidential candidates wao namna ya kuondokana na ukabila na wee bado unang'ang'ana nalo tu
unataka kuniambia wamarekani wangemzuia baraka obama kugombea kwa sababu ni 'mkenya mwafrika' kwa asili
my friend ukabila wako haukusaidii kitu, it wont feed or clothe you! Stand out and fight it using whatever resources you have
kwa ufupi ukabila ni dhana ya ubinafsi na ubaguzi ambayo mkishabaguana kikabila, haitaishia hapo, bali mtabaguana kiukoo ndani ya kabila, halafu kifamilia halafu individually. Ni dhambo mbaya sana kama sawa na kula nyama ya mtu. This old man nyerere was damn right!
Acha hiyo maneno mkuu
nina shauku sana na huu mdahalo...
Swali zuri kwa wagombea juu ya uanzishwaji wa vyama vya 'msimu' wakati wa uchaguzi kuwabeba wagombea kwa maana nyingine Kenya hakuna vyama madhubuti kama vyama vya siasa Tanzania CHADEMA, CCM, NCCR-MAGEUZI , CUF n.k ambavyo siyo vya msimu.
Ati kwa nini siwezi kuchagua Karua kama rais? Hata gari bila reverse gear siwezi endesha, sitaki kusikia kesho kenya inajihami kivita kupigana na Russia.