Kwenye katiba yetu mpya ijayo lazima kiwepo kipengere kinachomlazimisha wagombea URAIS kushiki kwenye mdahalo/midahalo miongoni mwa wagombea.Ni mdahalo wa wagombea urais nchini kenya ni leo. Utaonyeshwa live na kituo cha tv cha chanel ten leo saa 1 kamili usiku.
Ifike mahali hata hapa kwetu kuwe na mdahalo wa wagombea uraisi, kwa nini hapa kwetu inashindikana kuweka mdahalo?
Kama ni mdahalo wa kutumia lugha ya kiswahili kwa Tanzania,muendesha midahalo ambaye mi namuona ana upeo ni mmoja au wawili tu Jenerali Ulimwengu na Tido,ningeweza kusema Prof Shivji lakini tatizo lake ana munkari,kuendesha mdahalo sio kujua kuongea tu pia inabidi kujua historia ya asili ya mdahalo wenyewe,je hao wengine kama watatoka TZ wanajua current affairs za huko Kenya?I wish member wa JF Kabaridi na Ab-Titchaz, wakisaidiwa na Mwita Maranya , Mbuzi Mzee , Dhuks na Nyani Ngabu,Je, Mdahalo huu utakuwa kwa manufaa ya wananchi wa kawaida wa Kenya waelewe wagombea urais wanataka kuifanyia Kenya nini ili wafanye uamuzi wa busara yupi wampe kura au mdahalo (debate)ni maalum kuwaridhisha wafadhili wa nchi za Magharibi (Google, CNN, Reuters etc)?
Je wagombea wataweza kujieleza vizuri kwa Kiswahili ili wananchi walio wengi waelewe mipango, sera na ahadi za wagombea urais au wagombea watafanya mdahalo kwa lugha ya Kiingereza kwa ajili ya elite class ya Kenya ambao ni wachache?
Nashauri NTV managing editor Linus Kaikai na Julie Gichuru wa the Royal Media Services wafanye safari ya haraka kuja Tanzania tuwapatie uzoefu tulionao wa midahalo (debate) toka mwaka 1995 ili umma wa Kenya unufaike na zoezi hilo muhimu.
A few more hours to go. Where are you watching this from? Ill be streaming it on citizentv.co.ke/live from Chicago Illinois.
Hakikisha umesambaza link mkuu.
Hey, what is this Im hearing Muite moved to court to block this debate coz his name is excluded?
Any truth in that?
The debate is on. 6.30pm EAT.
Its on DSTV all Kenyan channels
Livestream:
Watch CitizenTV Live! - Citizen TV - Kenya
live - NTV
Citizen News - YouTube
Kenya Election 2013 - YouTube
Watching the Presidential Debate LIVE! #KEDebate13
Just for laughs....I heard that too. It's a private event and the court has no jurisdiction. It has been affirmed! All is set for 6:30pm.
I have been beaten to it! Cheers!
Hakikisha umesambaza link mkuu.
Hey, what is this Im hearing Muite moved to court to block this debate coz his name is excluded?
Any truth in that?