Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,565
- 7,984
Martha anamjeruhi Kenyatta!
you are missing the big point mleu. Hata huo wa south africa wakijidai kuimba kwa kuslang utaboa pia. Oroginality includes accent.
Kihusu kenneth, hata hatujaanza kudate. Nangojea Nyani Ngabu aniintrodyuzi.
Msijali tutaweka video yote baadaye...:A S 100:Aaaah Tanesco wameshafanya mambo! Alaaniwe Profesa muhongo kwa uongo wake uliotukuka. Mgao wa umeme kila siku hata aibu hana!?
Wadau tunaomba muendeleee kutu updates yanayojiri huko nairobea
it aint easy to be a black woman, worse enough in a black community. She just stands a disadvantage becoz she is a woman.When common sense is your guidance you don't have to complicate issues. That is Martha.
Ukilala njaa mkabila mwenzio atakuja kukupa chakula?
Tanesco wamekata umeme na cmu yangu chaji ndo inakatika.. So nitakuja kusoma comments later..
Hon. King'asti, at least they have their own National Anthem....."ours" was composed by a south african...even the melody has its origin in SA....
Is this Kenneth a son of late Kenneth Matiba??
Hili swali la Tembo (ICC) linamsumbua Kenyatta! Ila anapambana kulijibu
Uhuru anazongwa issue ya ICC.
Uhuru anazongwa issue ya ICC.
Nilikuwa nasikiliza hotuba zao Jaramogi na Jomo Kenyatta kwenye you tube walivyokuwa wanatukanana nikasema hawa wazee ni noma.Mkuu hao ndio mamba wengine ni kenge na mijusi kwenye huo msafara. Unakumbuka jinsi Jaramogi Oginga Odinga alivyopambana na Jommo Kenyatta miaka ya 60? Huu ni mpambano wa kihistoria ukiwakumbusha baba zao walivyokuwa wakipambana kwenye siasa za Kenya enzi hizo.
Nimependa alivyoelezaKeneth ameongea point kwenye hili li-issue la ICC...
Martha anamjeruhi Kenyatta!