The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

The 1st 2013 Kenyan Presidential Debate

Aaaah Tanesco wameshafanya mambo! Alaaniwe Profesa muhongo kwa uongo wake uliotukuka. Mgao wa umeme kila siku hata aibu hana!?
Wadau tunaomba muendeleee kutu updates yanayojiri huko nairobea
 
Tanesco wamekata umeme na cmu yangu chaji ndo inakatika.. So nitakuja kusoma comments later..
 
you are missing the big point mleu. Hata huo wa south africa wakijidai kuimba kwa kuslang utaboa pia. Oroginality includes accent.

Kihusu kenneth, hata hatujaanza kudate. Nangojea Nyani Ngabu aniintrodyuzi.

I will arrange for a rendezvous somewhere in the Caribbean.
 
Aaaah Tanesco wameshafanya mambo! Alaaniwe Profesa muhongo kwa uongo wake uliotukuka. Mgao wa umeme kila siku hata aibu hana!?
Wadau tunaomba muendeleee kutu updates yanayojiri huko nairobea
Msijali tutaweka video yote baadaye...:A S 100:
 
When common sense is your guidance you don't have to complicate issues. That is Martha.

Ukilala njaa mkabila mwenzio atakuja kukupa chakula?
it aint easy to be a black woman, worse enough in a black community. She just stands a disadvantage becoz she is a woman.

AshaDii, sijakuona. Njooo tupige kura za humu
 
Last edited by a moderator:
Hon. King'asti, at least they have their own National Anthem....."ours" was composed by a south african...even the melody has its origin in SA....

Is this Kenneth a son of late Kenneth Matiba??

Una uhakika melody imecopiwa south Africa na sio South Africa wametucopy sisi??kwani South Africa wamepata uhuru lini??just think
 
Hili swali la Tembo (ICC) linamsumbua Kenyatta! Ila anapambana kulijibu

Naona Uhuru Kenyatta anataka 'mahakama ya wananchi' yaani 'nguvu ya umma' a.k.a wananchi wapiga kura imuhukumu kwa kura kama anafaa kuwa Rais au la huku akiwa na tuhuma ktk mashitaka the Hague- ICC ambayo baadaye anaweza kushinda kesi au kupatikana na hatia na baadaye kuachia ngazi ya urais aende jela.
 
Its challenge to run government through skype from the Hugue - Odinga
 
It will run a serious problem to run a government from Hague through Skype ~ RAO
 
Mkuu hao ndio mamba wengine ni kenge na mijusi kwenye huo msafara. Unakumbuka jinsi Jaramogi Oginga Odinga alivyopambana na Jommo Kenyatta miaka ya 60? Huu ni mpambano wa kihistoria ukiwakumbusha baba zao walivyokuwa wakipambana kwenye siasa za Kenya enzi hizo.
Nilikuwa nasikiliza hotuba zao Jaramogi na Jomo Kenyatta kwenye you tube walivyokuwa wanatukanana nikasema hawa wazee ni noma.
 
Uhuru is getting support from unexpected quotas, lol muite.
 
dah! Umeme wao wameuchukua! Really hate this....
 
Back
Top Bottom