Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,951
- 9,977
Watakubali kufanya debate?
Tunatakiwa tuwalazimishe kwa kuweka kipengele cha mdahalo kwenye katiba ili wasikimbie.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watakubali kufanya debate?
Halafu walisema unaanza saa moja kamili uciku.. Mpaka sasa hiv haujaanza.. When it comes 2 time keeping.. Hatuna tofauti..
Mwaka 1995 uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi ulifanyika mdahalo kwa njia ya radio kati ya Ibrahim Lipumba, Mrema, Mkapa na Cheyo! uchaguzi wa 2005 Lipumba akaomba mdahalo ufanyike lakini Mkapa hakutokea! sasa tunaomba midahalo ifanyike kupitia TV ili tuwaone!
Kwa nini wagombea wa Tanzania wanaakimbia?
I hope hawatarushiana makonde hapo mambo yakichacha. Madame Karua should have worn a trouser suit.
nawezaje kuona debate ya Kenya kupitia mtandao?
nawezaje kuona debate ya Kenya kupitia mtandao?
Mkuu tafuta Citizen TV, KTN ama KBC online huenda ukaona.
da wakenya safi sana,maccm ya bongo hayawezi kukubali,ndo tunaachwa kidemokrasia hvo.