The 2019 NBA Playoffs

The 2019 NBA Playoffs

Kama rumours za kuondoka Kyle na KD kule GSW baada ya msimu kuisha zitakuwa kweli basi nayo itakuwa average timu ila wakiwa smart wanaweza kupata free agents wazuri kama Kemba na wengine na hivyo pengo kutokuwa kubwa sana.
Haters will always create their things who told u that KD and klay Thompson going to move out of golden state actually last season klay Thompson was like he is going to finish all of these basketball in golden state Warriors so stop dreaming during day
 
KD is leaving GSWs take it or leave it. Probably going to team up with Kyrie in NY or Kawhi in LAC.

On Klay, I am not sure whether the team will max him while KD gone.

GSW will have a lot to do during this off season.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Read again what I wrote and I am not writing anything here from my dreams so stop your shenanigans. Rumours are just rumours they may end up to be the truth or not.

Haters will always create their things who told u that KD and klay Thompson going to move out of golden state actually last season klay Thompson was like he is going to finish all of these basketball in golden state Warriors so stop dreaming during day
 
Haters will always create their things who told u that KD and klay Thompson going to move out of golden state actually last season klay Thompson was like he is going to finish all of these basketball in golden state Warriors so stop dreaming during day
 
Haters will always create their things who told u that KD and klay Thompson going to move out of golden state actually last season klay Thompson was like he is going to finish all of these basketball in golden state Warriors so stop dreaming during day
 
Mkuu nipe prediction yako ya Celtics vs Bucks leo.

Natamani Bucks ashinde hii game nimsikie Paul Pierce anasemaje tena.
 
Mkuu nipe prediction yako ya Celtics vs Bucks leo. Natamani Bucks ashinde hii game nimsikie Paul Pierce anasemaje tena.
Ingawa swali halikuelekezwa kwangu, Bucks kushinda uwanjani Boston, kutakuwa ni katika moja ya maajabu ya NBA. Niliona walivyoweza kumbana Giannis Antetokounmpo katika mchezo wa kwanza, nadhani na leo watampa shida sana. Kosa la Bucks ni kule kukubali kufungwa katika uwanja wao wa nyumbani...hata hivyo ngoja tusubiri, labda tayari wanayo dawa kwa Kyrie Irving.
 
Kiukweli ile game ya kwanza Boston walicheza moja ya defense ngumu sana, niliona analysis ya Paul Pierce akisema it's over baada ya hiyo game, kina Jalen Rose walimbishia.

Baada ya Bucks kushinda game ya pili sijapata muda wa kuonana Paul Pierce ameongea nini, ila hii game Bucks wakishinda nitaangalia analysis zao.
 
Kiukweli ile game ya kwanza Boston walicheza moja ya defense ngumu sana, niliona analysis ya Paul Pierce akisema it's over baada ya hiyo game, kina Jalen Rose walimbishia.
Katika playoffs timu ya nyumbani kukubali kufungwa katika mchezo wa kwanza ni dalili mbaya sana. Kwa timu ya Ugenini, kufunga katika mchezo wa kwanza ni dalili nzuri sana ingawa si hoja sana kwani lengo ni kuambulia ushindi wowote ule.

Katika mchezo wa pili mara nyingi timu ya nyumbani kama ilifungwa mchezo wa kwanza itacheza kufa na kupona katika mchezo wa pili na mara nyingi hushinda. Kwa timu ya ugenini kama waliweza kufunga katika mchezo wa kwanza ugenini hawatatumia nguvu nyingi katika mchezo wa pili, watasubiri mchezo wa tatu nyumbani kwao.
 
Tusubiri tuone itakuwaje huu mchezo wa tatu, maana Boston kikosi chao kiko vizuri sana.

Ninatamani kuona Bucks anashinda ila najua ugumu ni mkubwa sana.
 
Naona ndoto yako inaweza kutimia, pamoja na kumkosa Brogdon Bucks wamekaza kweli kweli, wako mbele kwa pt 99 - 90 kipindi cha lala salama na bado dakika 9:36 tu...
 
Jamaa wamekaza mpaka wameshinda hii game, pressure inahamia kwa Boston game 4. Playoffs ngumu sana kutaboliri nani ataibuka mahindi.
 
Naona Chicago Bulls have extended Jim Boylen’s contract to continue as their coach. Wakati Huo Huo, Lakers appear to be closing in on LeBron’s Cleveland coach Ty Lue to join them as coach.
 
Mie pia nilidhani hivyo ila Celtics wako hatarini kuondolewa in 5 games.

Ingawa swali halikuelekezwa kwangu, Bucks kushinda uwanjani Boston, kutakuwa ni katika moja ya maajabu ya NBA. Niliona walivyoweza kumbana Giannis Antetokounmpo katika mchezo wa kwanza, nadhani na leo watampa shida sana. Kosa la Bucks ni kule kukubali kufungwa katika uwanja wao wa nyumbani...hata hivyo ngoja tusubiri, labda tayari wanayo dawa kwa Kyrie Irving.
 
Double O/T kwa Blazers na Nuggets 109 -109! Hatari tupu!
 
Back
Top Bottom