Tumbo Tumbo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 1,278
- 1,553
The Drake Curse Will Never Die [emoji3][emoji3]The mountain is too high to climb for Raptors and time is not on their side.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The Drake Curse Will Never Die [emoji3][emoji3]The mountain is too high to climb for Raptors and time is not on their side.
Haters will always create their things who told u that KD and klay Thompson going to move out of golden state actually last season klay Thompson was like he is going to finish all of these basketball in golden state Warriors so stop dreaming during dayKama rumours za kuondoka Kyle na KD kule GSW baada ya msimu kuisha zitakuwa kweli basi nayo itakuwa average timu ila wakiwa smart wanaweza kupata free agents wazuri kama Kemba na wengine na hivyo pengo kutokuwa kubwa sana.
Haters will always create their things who told u that KD and klay Thompson going to move out of golden state actually last season klay Thompson was like he is going to finish all of these basketball in golden state Warriors so stop dreaming during day

![]()
NBA rumors: Kevin Durant, Klay Thompson ‘unlikely' to sign with Lakers
This summer could make-or-break the LeBron James era with the Lakers, and it’s starting to sound like it might be a bust. James and the Lakers drastically underperformed expectations this season, with injuries, bad chemistry and poor roster construction causing the superstar forward to miss the...www.nbcsports.com
Ingawa swali halikuelekezwa kwangu, Bucks kushinda uwanjani Boston, kutakuwa ni katika moja ya maajabu ya NBA. Niliona walivyoweza kumbana Giannis Antetokounmpo katika mchezo wa kwanza, nadhani na leo watampa shida sana. Kosa la Bucks ni kule kukubali kufungwa katika uwanja wao wa nyumbani...hata hivyo ngoja tusubiri, labda tayari wanayo dawa kwa Kyrie Irving.Mkuu nipe prediction yako ya Celtics vs Bucks leo. Natamani Bucks ashinde hii game nimsikie Paul Pierce anasemaje tena.
Ingawa swali halikuelekezwa kwangu, Bucks kushinda uwanjani Boston, kutakuwa ni katika moja ya maajabu ya NBA. Niliona walivyoweza kumbana Giannis Antetokounmpo katika mchezo wa kwanza, nadhani na leo watampa shida sana. Kosa la Bucks ni kule kukubali kufungwa katika uwanja wao wa nyumbani...hata hivyo ngoja tusubiri, labda tayari wanayo dawa kwa Kyrie Irving.
Katika playoffs timu ya nyumbani kukubali kufungwa katika mchezo wa kwanza ni dalili mbaya sana. Kwa timu ya Ugenini, kufunga katika mchezo wa kwanza ni dalili nzuri sana ingawa si hoja sana kwani lengo ni kuambulia ushindi wowote ule.Kiukweli ile game ya kwanza Boston walicheza moja ya defense ngumu sana, niliona analysis ya Paul Pierce akisema it's over baada ya hiyo game, kina Jalen Rose walimbishia.
Katika playoffs timu ya nyumbani kukubali kufungwa katika mchezo wa kwanza ni dalili mbaya sana. Kwa timu ya Ugenini, kufunga katika mchezo wa kwanza ni dalili nzuri sana ingawa si hoja sana kwani lengo ni kuambulia ushindi wowote ule.
Katika mchezo wa pili mara nyingi timu ya nyumbani kama ilifungwa mchezo wa kwanza itacheza kufa na kupona katika mchezo wa pili na mara nyingi hushinda. Kwa timu ya ugenini kama waliweza kufunga katika mchezo wa kwanza ugenini hawatatumia nguvu nyingi katika mchezo wa pili, watasubiri mchezo wa tatu nyumbani kwao.
Naona ndoto yako inaweza kutimia, pamoja na kumkosa Brogdon Bucks wamekaza kweli kweli, wako mbele kwa pt 99 - 90 kipindi cha lala salama na bado dakika 9:36 tu...Tusubiri tuone itakuwaje huu mchezo wa tatu, maana Boston kikosi chao kiko vizuri sana.
Ninatamani kuona Bucks anashinda ila najua ugumu ni mkubwa sana.
Naona ndoto yako inaweza kutimia, pamoja na kumkosa Brogdon Bucks wamekaza kweli kweli, wako mbele kwa pt 99 - 90 kipindi cha lala salama na bado dakika 9:36 tu...
Hii ya Blazers na Nuggets kweli kiboko! Hakuna anayekubali!What a game!!